Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kwahiyo kwako wewe hiyo ni kutaka attention,, uko serious chief?Makelele ya jioni yanaanzia saa moja mpaka 4 usiku. Tofauti na siku za kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwako wewe hiyo ni kutaka attention,, uko serious chief?Makelele ya jioni yanaanzia saa moja mpaka 4 usiku. Tofauti na siku za kawaida.
kama zipi hizo mbona msoga na wasagaji wamejazana huko hamfanyi kitu,Rekebisha kauli mkuu, Sema Tanganyika. Zanzibar kuna sheria zake nyengine kabisa
Ni eneoUshasema kijiji Sasa,,, je Zanzibar ni Kijiji?
Je lina hadhi ya kuitwa nchi?Ni eneo
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaHao watu ni wanafiki sana wao wanauabudu mwezi kuliko mungu wao
kama zipi hizo mbona msoga na wasagaji wamejazana huko hamfanyi kitu,
acheni unafiki
eti zanzibar inasheria zake mbona hamuendi kuwakamata kwenye hotel za kitalii wanaokula,
mnakuja kusumbua watu mitaani,
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaKila nikiandika nafuta nisije tukana bure bora nikae kimya tu.
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaRamadan ni suala la dini, na sio kila mtu ni muislam
huo ni udini sio utamaduni
Kwahiyo kwako wewe hiyo ni kutaka attention,, uko serious chief?
Zanzibar haina hiyo hadhiJe lina hadhi ya kuitwa nchi?
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaEti tunaiita taifa lisiloendesha kidini, yaani karne hii bado watu wanateswa na udini ....
Ndiyo ukweli, wazenji wabaguzi, ndiyo ukweli kama ni muislam utaishi vema tuacha kujaza watu kasumba ukawapotezea fursa
Sina haja ya kupunguza ukali wa maneno kwasababu ndiyo ukweliTumia tafsida mkuu khaaa
Wazungu wanasema hivi usinyanyue sauti yako ktk mijadala ila imarisha hoja yako.Bro huoni hilo. Kwani wakiimbiana kwa kiarabu chao kimya kimya humo humo msikitini hawasikiwi na Allahu. Au wenyewe kwa wenyewe hawatasikiana? Mambo ya kuweka vipaza sauti vyenye high pitch vinaleta noise pollution na vina athari kwa watu wanaoishi kuzunguka eneo hilo. Wazia kukiwa na wagonjwa, wazee, watoto wachanga si wataathirika zaidi?
Wazungu wanasema hivi usinyanyue sauti yako ktk mijadala ila imarishahoja yako.
Point ni wao kuwa na spika za ndani period,,, sio unazungukazunguka
Kwahiyo kile ni kijiji? Tunaposema Jamhuri ya muungano tuna kusudia niniZanzibar haina hiyo hadhi
kwani Nikila hadharani tatizo nini hivi wahindu wa buddha wapagani nao wakitaka sharia zao zifuatwe hii dunia itakalika kweli??Mtaani ndio tatizo mkuu, hajazuiwa mtu kula ndani ya hotel au nyumbani kwake, kilichozuiwa ni kula nje hadharani
sheria ipi inayokataza mtu asile hadharaniNyie ndio mnajisumbua,,, wenyewe wanasema usile hadharani kwanini usitii sheria? Je anayejisumbua ni nani hapo
Kwenye ukweli lazima pasemwe binafsi siafiki huo utaratibu,,, ingefaa baada ya adhana kuwaita watu katika swala baada ya hapo zitumike spika za ndaniSijui kama nimezunguka. Lkn kwenye suala la kuweka spika hizo juu ya paa na kuanza kupiga kelele usiku wa manane, kumenifanya nitilie shaka kiwango cha uelewa na busara zao.