Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Yani ukishaona dini linalazimisha kwa nguvu kutekeleza matakwa yake ujue ni feki. Uislamu umejaa mastory ya fiction na uongo mwingii ila lengo lilikuwa ni kutawala tu.
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Kwenye ukweli lazima pasemwe binafsi siafiki huo utaratibu,,, ingefaa baada ya adhana kuwaita watu katika swala baada ya hapo zitumike spika za ndani

Hiyo ni changamoto ambayo waislamu tunatakiwa kuiangalia

Muda wa watu kwenda ibadan haujulikani mpaka uamshwe kwa kelele? Hilo linawafanya watu wengi watilie shaka upendo wa waislam kwa mungu wao.
Ina maana wasipoitwa hawataenda msikitini?
 
Mtaani ndio tatizo mkuu, hajazuiwa mtu kula ndani ya hotel au nyumbani kwake, kilichozuiwa ni kula nje hadharani
Mkuu unatetea basi tu. Hili ni tatizo, niambie na hawa walikuwa wanakula hadharani?

 
Kwani zanzibar ni nchi ya kiislam? Huo ni upumbavu kulazimisha watu waamini ujinga. Mungu gani huyo anapambaniwa na watu ili aabudiwe?

Huo upumbavu usifike bara, bara watu wanakula mchana peupe tena malangoni pa misikiti, kuna migahawa kwenye fremu zao na watu wanapata chakula kama kawaida bila kubughudhiwa
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Tangu waanze kufunga kuna la maana lipi wamefanya zaidi ya kuweka PAUSE machafu yao, baada tu ya mfungo wana press play. Wanamchezea Mungu. Mfungo focus kwao ni chakula sio mabadiliko ya kiroho, kutwa nzima kusubiri iftar na kupanga iweje. Takataka
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Muda wa watu kwenda ibadan haujulikani mpaka uamshwe kwa kelele? Hilo linawafanya watu wengi watilie shaka upendo wa waislam kwa mungu wao.
Ina maana wasipoitwa hawataenda msikitini?
haya majitu ni kelo sana kwa kweli
 
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini magharibi Unguja Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakar Khamis Ally amesema kufuatia video iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha baadhi ya watu katika eneo la viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar wakila hadharani wakati wa mchana wa Ramadhani, Jeshi hilo lilifanya msako na kuwakamata watu wapatao kumi na mbili wakiwa na vielelezo ambapo amesema wanaendelea na taratibu nyengine ili kuwafikisha Mahakamani.
Wewe unayemkamata mwenzako unaumia nini akila chakula?
Kwani kufunga ni lazima?
Ndiyo maana hucho kinchi kipo tegemezi sana serikali yake haina akili
 
Mbona ulaya kutwa wanataka yakwao tuyafate. Waislamu wana kasumba ya kujiona bora sana. Wakati mtume wao kaja miaka zaidi ya mia 6 baada ya kristo.
Hiyo sheria ipo toka wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Naomba kuuliza. Hii ni sheria ya kidini au ya kiserikali - hii ya kutokuruhusiwa kula hadharani wakati wa mfungo Ramadhan. Na kama ni sheria ya kidini, na iwapo mimi sio muumini wa hiyo dini, nikila mchana nje kwenye kibaraza nynje ya nyumba yangu, je navunja sheria? Na kama ni sheria ya kidini, kwanini polisi wa serikali wanahusika kukamata watu?
 
HAYA MATUKIO YALITABIRIWA

Mwenye hiyo video ya hao raia wakila mchana aweke hapa

Haya je akikamatwa atafungwa kwa sheria gani na adhabu yake ni ipi kwa muda gani?
Hizo sheria zipo watafungwa mwaka mmoja na viboko kumi na mbili Sita wakiingia jela na Sita wakitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Muda wa watu kwenda ibadan haujulikani mpaka uamshwe kwa kelele? Hilo linawafanya watu wengi watilie shaka upendo wa waislam kwa mungu wao.
Ina maana wasipoitwa hawataenda msikitini?
Adhana inamaana kubwa sana chief,,, ukiacha kuwaita watu Katika swala lkn ni ulingano ambao unamlingani mwanadamu amtambue Mola wake

Inatangaza ukubwa wa Mwenyezi Mungu, inatangaza hakuna mola mwingine apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mungu mmoja tu wa kweli, hapa hakuna baba, mwana wala roho

Na inamtangaza Mtume ambaye ni wa mwisho na hatokuja mwingine naye ni muhammad, ambaye Mimi na wewe tunatakiwa kumfuata iii tuongoke.

Kwahiyo adhana ni ibada
 
Back
Top Bottom