Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini magharibi Unguja Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakar Khamis Ally amesema kufuatia video iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha baadhi ya watu katika eneo la viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar wakila hadharani wakati wa mchana wa Ramadhani, Jeshi hilo lilifanya msako na kuwakamata watu wapatao kumi na mbili wakiwa na vielelezo ambapo amesema wanaendelea na taratibu nyengine ili kuwafikisha Mahakamani.

Aidha ameyataja makosa mengine ni pamoja na unyang’anyi, Madawa ya kulevya na makosa mengine ambapo watuhumiwa wanashikiliwa na Polisi na wengine tayari wameshahukumiwa Mahakamani.
Yaani jamaa wakifunga wanalazimisha wengine nao wafunge. Wajifunze toka dini zingine waache kutumia ubabe kwenye mambo ya Mungu.
 
Uislamu Ni mgumu we acha tu.
Sasa hivi inatumika nguvu nyingi kueneza uongo kwamba Magufuli sie aliyehamasisha ujenzi wa msikiti mkubwa Kinondoni.
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika hao hawatoki mpaka Ramadhani inayokuja
 
Inakuwaje watu wasioshiriki mfungo wafungwe kama sio udini ? Kwani Zanzibaar ni dola ya kiislam kama Saudi? matukio haya yanazidi kutuletea hofu kwamba its har for islam to co exist with non muslims kama zilivyo nchi nyingi za kiarabu, kwamba sehemu ikijaa waislam basi haki za wasio waislam zinaminywa (Ni nchi chache kama senegal zimeweza), Haya mambo yanayoendelea Zanzibar inabidi yafutwe kabisa, ni mambo yatayoleta mazoea kukandamiza wasio waislam zaidi na zaidi kadri muda unavyoenda

HABARI YA WATU 12 WALIOKAMATWA KISA KULA .....

Kufuatia taarifa mbalimbali zilizosambaa mitandaoni zikidai kuna baadhi ya Watu Visiwani Zanzibar wana tabia za kula chakula hadharani wakati wa mchana mwezi huu wa Ramdhani, Jeshi la Polisi limefuatilia taarifa hizo na kubaini uwepo Watu hao.

Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa mjini magharibi (Zanzibar) amesema walifanya msako na kuwakamata Watu hao 12 katika maeneo tofauti ya mjini ambapo sasa wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Madema wakisubiri taratibu za kupelekwa Mahakamani.

hapo awali kabla ya kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ilifanya mahojiano maalum na Mrajisi wa Baraza la Sanaa Zanzibar ambalo pia husimamia Milka, Silka na Tamaduni za Zanzibar na ambapo alizungumzia kanuni zinazopiga maarufuku mbalimbali za mwezi mtukufu ikiwemo kusimamisha shughuli za mziki, kufungua Baa, ulaji holela wa hadharani na uvaaji usio na staha.
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika hao hatoki mpaka Ramadhani ijayo
 
Sasa kama mtu imani yake inamruhusu kula anakamatwa kwa kosa gani?
Je, jeshi la polisi Zanzibar ni tofauti na polisi wa bara?
Je, serikali ya awamu hii Ina dini?
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Yani ukishaona dini linalazimisha kwa nguvu kutekeleza matakwa yake ujue ni feki. Uislamu umejaa mastory ya fiction na uongo mwingii ila lengo lilikuwa ni kutawala tu.
Dini zote ni stories za watu tu.
 
Watu wanaona hii ni sawa Kuna siku Wakristo watakuja kuibuka na visheria vyako nakutaka Waislamu wafuate hapo ndipo mtagundua hili jambo ni udini.

Zanzibar siyo Nchi ya kiislamu na huyu ujinga uachwe mara moja kwa dini zote mbili. Pia unakosea kusema uislamu hauwezi ku co exist na dini nyingi wakati tunaishi nayo huku bara bila huu ujinga.
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka
 
Uislam ni shida kila mahala..
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa hilo ni kosa kwa sheria za znz hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Wanalazimishwa kumtumikia shetani na mambo yake yote na kazi zake zote.... hivi Zanzibar sio Tanzania? Mbona yakija huku hayabughudhiwi? yanaishi yatakavyo? Hii ndo taibia ya Waarabu/ Waislamu, Israel wawafute kabisa kwenye ramani.
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Back
Top Bottom