Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Ndio maana Ulaya yote inapiga vita UISLAM.
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hao watu ni wanafiki sana wao wanauabudu mwezi kuliko mungu wao
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Mkuu, issue hapa ni uroho. Acheni uroho mkifunga, wwe umefunga kula alafu hutaki kuona watu wanakula eti wanakutamanisha sasa hapa si bora usifunge tu tena mnakamata mpaka mama ntilie wanaopikia ndani kwao
Alafu umetoa mfano hauna maana, ushoga sio utamaduni wa ulaya ni tabia imeanza recently kuleta vikundi kabla ya hapo haukukubalika na hata sasa wazungu sio wote wanaukubali, tamaduni ni tabia na mwenendo ambao umekubalika na jamii fulani kwa kipindi cha miaka mingi, vizazi na vizazi
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Yaani uvunje Sheria Kwa kula jasho lako, huo ni upunguani tusipangiane maisha
 
Hivi Hawa washamba wanajua sasa hivi hiyo dini ilikoanzia hawana habari na ujinga kama huo?


20240328_161623.jpg
 
Waachiwe tu mbona inajulikana wakristo huwa hawafungi kula aliefunga anaweza kufunga kula nyama ukimpa sambusa za nyama anapasua anatoa nyama zote anakula ganda la nje ye akila nyama tu ndo funga yake imeharibika sasa mnataka wakae njaa kwanzia alfajiri hadi jioni watatoboa?

Kama mnataka kuanzisha vita ya kidini we mkataze mkristo kula ndo utaona moto wake, mtu kakatazwa kula nguruwe hadi kwenye maandiko ya biblia lakini kagoma kuacha kula ndo wewe utaweza kumzuia kupiga misosi?
 
Zanzibar being predominantly Muslim, during Ramadan, everyone is expected to adhere to the Islamic teachings of fasting from dawn to dusk, at least in public. It is not against the law to eat publicly rather considered polite.

Hiki ndicho google inasema.

Lakini sidhani kama kuna sheria ya dini inasema hivyo ni mihemko ya watu kama asemavyo member M Z A N Z I B A R I

28 March 2024
Zanzibar

Na kamanda ayataja majina yao na kabila zao waliokamatwa wakila mchana hadharani :


View: https://m.youtube.com/watch?v=l4mmqjdRX3o
 
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Badala ya kuongea kwa hisia na utashi wako, kwanini usilete bandiko la hiyo sheria hapa?
 
Sasa kweni hii Islamic Sharia inawahusu Atheists na Waumini wa Dini nyingine?
Hiyo sheria ni ya muda mrefu sana Sasa hivi wameikazia tu hujakatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Back
Top Bottom