Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
...hilo ni kosa kwa sheria za znz hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka
Wee, thubutu!
Yaani mtu ni mpagani au dini tofauti na hiyo yenu umpe adhabu ya kipuuzi kisa amekula chakula kwa pesa yake?!!!
 
Sikutegemea kuwa, Rais Mwinyi atakuja kusimamia UPUUZI huo!
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hizo ni za Nchi Shekhe wenyewe wamejiwekea utaratibu wao na ukakubalika watajua wanashitakiana vipi, mbona bara tunakaa na watu wanakula pembeni na maisha yanaenda
Zanzibar ni Nchi ya Tanzania na Serikali ya Tanzania Secular haiwezi kutunga Sheria za Dini.
 
Huu ni upumbavu ni sawa sawa na usikie watu mahali fulani wamekamatwa kwa kula nyama siku ya ijumaa wakati ni Ijumaa Kuu

Dini isiyoweza kuvumilia ni ya kipumbavu sana, sasa mtu kula kunakuuma nini au ni dhambi gani????
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Huo ni uhuni na haukubaliki..
Kama wewe ukikamatwa kwa kutozingatia ibada za dini isiyokuhusu utaelewa?!

Kuna siku Freemason nao watasema wamefunga kula na hivyo lazima kila mwananchi afunge kama wao.

Kama mtu kafunga kwa kumaanisha mambo ya wengine kula hayawezi kumsumbua.

Kama ndivyo, itakuwaje mfungo ukikukuta bara, utaweza kuzuia watu kula?
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
CHUKUA HILI. IPO SIKU LITAKUSAIDIA
kuna dhambi: dhambi inapeleka mtu motoni moja kwa moja kama hutotubu kwa Mungu.
DHambi haina option ukifanya jambo flan ni dhambi na haibadiliki na hamna utetezi kuwa ilikuwa hiv ndo mana ukatenda hiyo dhambi

Na

Najisi: haya mambo mtu huendi motoni na pia yana option mfano ukila ngurue .ukivuta sigara.ukilambwa na mbwa au ukigusana na mwanamke au mwanaume huwezi pata dhambi
Harar ina option ukiwa kwenye njaa unaweza kula chochote kuponya nafsi.
Ukiwa mazngira magumu unaweza gusana na mtu yoyote. Ila yote hayahesabiki kama dhambi au kosa

Mtu kufunga ama kutokufunga
Kutokufunga si dhambi
Kutokwenda maka si dhambi

RAI KWA WANA WA MUNGU
Tuache unafiki na kufanya mambo kwa kufuata mkumbo
Tukumbuke kunadhambi na najisi

IMANI NA MATENDO MEMA YA MTU YATAMFANYA AONE PEPO
 
Kwanza muungano uvunjike tu
Limama lao linatufisadi tu bara 😏
 
Jambo la kuhoji ni je Serikali ya Mapinduzi ni Secular? Kama jibu ni Secular ni kwanini inajiingiza ku enforce Sheria za Dini?

Tunahitaji Mjadala mpana sana kwenye hili jambo.

Kwasababu Serikali ya Jamhuri ya Muungano ni Secular.
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Nimeiona kwenye habari leo UTV, je zanzibar inaendeshwa kwa sheria za kiislamu?
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Upuuzi Mtupu Ukiwauliza Sasa Kifungu Gani Kinawapa Mamlaka Kukamata Watu Wanaokula Mwezi Huu Hawana Majibu Kama Suala La 3D Ambalo Nyuma Kuna.

Masasi And Kiboko Company Limited
Nani kakwambia hawana majibu? Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Sheria za Kijinga zifutwe haraka.
 
Nilileta Uzi humu watu wakanishambulia ooh umejitungia, Hawa jamaa unafiki mwingi sana uzur ni kwamba hata wao wenyewe wanajijua ni wanafiki watajijua na huyo mungu wao.
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hata wao wenyewe hawaelew hata wanasimamia kitu Gani? Atakuja muislamu mwingine atakuambia hiyo ni sawa kabisa kutokana na dini ya kiislamu.
Wacha porojo tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Back
Top Bottom