Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Naona hujielewi kabisa,,, mnapenda sana chokochoko za kidinikwanini nishindwe kula mbele yao, kufunga wafunge wao tupateshida wote huu upuuzi wa wapi??
hii dini ya kiisilamu imekua tatizo kila sehemu duniani, hivi wa buddha wa hindu wa kristo nao wakianza vitu kama hivi hii dunia itakalika kweli??
Halafu wenyewe wanavyotupigia kelele na mavipaza sauti yao wanafikiri tunawafurahia.kwanini nishindwe kula mbele yao, kufunga wafunge wao tupateshida wote huu upuuzi wa wapi??
hii dini ya kiisilamu imekua tatizo kila sehemu duniani, hivi wa buddha wa hindu wa kristo nao wakianza vitu kama hivi hii dunia itakalika kweli??
Tumia tafsida mkuu khaaaMi naenda mara kadhaa huko ila mwisho mwezi wa tano, wajinga wale wabaguzi sana
kwani wanao kula ni wa kristo peke yao?? hau haujui kuwa kuna buddha hindu vegans paganism satanism rucefarnisim na wengine wengi tu,Kwani lazima ww mkristo uwepo znz si uende israel nyang’au
shenzi kabisa hawaHalafu wenyewe wanavyotupigia kelele na mavipaza sauti yao wanafikiri tunawafurahia.
Upo sahihi kabisa,,,,mtu mwenye akili timamu huwa hivyoBinafsi, busara itanituma nisimkaribishe, hata kuongelea mambo ya misosi.
tanzania ni nchi huru kila mtu ana uhuru wa kufanya anachotaka maadam havunji sheria,
Naona hujielewi kabisa,,, mnapenda sana chokochoko za kidini
Kweli we ni Zombieboss. We si nunda? Basi nenda kale mchana wa mwezi wa Ramadhani halafu tatakayokukuta akili itakukaa sawa.Wewe unajitambua kweli ,uhusiano wa kula mchana na serikali ni wapi na wapi,
Wamekamata watu wanaokula mchana kwakuwa ni mwezi wa rama,
Sasa hakunaje uhusiano na uislamu!
Attention kivipiHalafu kufunga siyo matangazo ya biashara. Shida yenu inaanzia hapo. Mnapenda attention ya kila kitu mnachofanya. Lkn cha kusikitisha, mambo mengi mnayofanya ni nonbrainer. Hamtumii vizuri uwezo wenu wa kufikiri.
Usikubali mtu yeyote katika kizazi chako akaishi Zanzibar kama siyo muislam, wabaguzi sana
Kwahiyo mfano kijiji fulani ni wakristo 99% ni sahihi wajitungie sheria zao ikiwemo wakati wa kwaresma ole ule hadharani?Shida iko labda wewe huioni,,,,kwakuwa kule wengi ni waislamu basi ibada yao inatakiwa iheshimiwe
Kwahiyo mfano kijiji fulani ni wakristo 99% ni sahihi wajitungie sheria zao ikiwemo wakati wa kwaresma ole ule hadharani?Shida iko labda wewe huioni,,,,kwakuwa kule wengi ni waislamu basi ibada yao inatakiwa iheshimiwe
nyie mnaosumbua wengine utafikiri mmelazimishwa kufunga,Naona hujielewi kabisa,,, mnapenda sana chokochoko za kidini
Attention kivipi
Ushasema kijiji Sasa,,, je Zanzibar ni Kijiji?Kwahiyo mfano kijiji fulani ni wakristo 99% ni sahihi wajitungie sheria zao ikiwemo wakati wa kwaresma ole ule hadharani?
Nyie ndio mnajisumbua,,, wenyewe wanasema usile hadharani kwanini usitii sheria? Je anayejisumbua ni nani haponyie mnaosumbua wengine utafikiri mmelazimishwa kufunga,
Hata Zanzibar watalii wanakula tu fresh,wanawaonea makapukuHao ni waislamu wasio na elimu...Dubai hawana ushenzi huo..watalii wanakula tu