Ndio maana Ulaya yote inapiga vita UISLAM.
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hao watu ni wanafiki sana wao wanauabudu mwezi kuliko mungu wao
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Yaani uvunje Sheria Kwa kula jasho lako, huo ni upunguani tusipangiane maisha
 
Hivi Hawa washamba wanajua sasa hivi hiyo dini ilikoanzia hawana habari na ujinga kama huo?


 
Waachiwe tu mbona inajulikana wakristo huwa hawafungi kula aliefunga anaweza kufunga kula nyama ukimpa sambusa za nyama anapasua anatoa nyama zote anakula ganda la nje ye akila nyama tu ndo funga yake imeharibika sasa mnataka wakae njaa kwanzia alfajiri hadi jioni watatoboa?

Kama mnataka kuanzisha vita ya kidini we mkataze mkristo kula ndo utaona moto wake, mtu kakatazwa kula nguruwe hadi kwenye maandiko ya biblia lakini kagoma kuacha kula ndo wewe utaweza kumzuia kupiga misosi?
 
Wee, thubutu!
Yaani mtu ni mpagani au dini tofauti na hiyo yenu umpe adhabu ya kipuuzi kisa amekula chakula kwa pesa yake?!!!
Wewe vipi watu tayari wananyea MTONDOO wewe unaleta utani znz wanasheria zao
 

28 March 2024
Zanzibar

Na kamanda ayataja majina yao na kabila zao waliokamatwa wakila mchana hadharani :


View: https://m.youtube.com/watch?v=l4mmqjdRX3o
 
Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Badala ya kuongea kwa hisia na utashi wako, kwanini usilete bandiko la hiyo sheria hapa?
 
Sasa kweni hii Islamic Sharia inawahusu Atheists na Waumini wa Dini nyingine?
Hiyo sheria ni ya muda mrefu sana Sasa hivi wameikazia tu hujakatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…