Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Wewe unajitambua kweli ,uhusiano wa kula mchana na serikali ni wapi na wapi,
Wamekamata watu wanaokula mchana kwakuwa ni mwezi wa rama,
Sasa hakunaje uhusiano na uislamu!
Hata wao wenyewe hawaelew hata wanasimamia kitu Gani? Atakuja muislamu mwingine atakuambia hiyo ni sawa kabisa kutokana na dini ya kiislamu.
 
Wakati unakaza fuvu kukashfu imani ya mtu mwingine anza kwanza kuweka hapa takataka za imani yako ilituone ni namna gani unahaki yakuona chamwenzio sio bora nachakwako ndio bora.

Hapo nasemea hizi taka taka zinazoenda kuikashifu dini ya waislamu kwatukio hilo la zanzibar.
Ni kosa kubwa kukashifu uislam kwa sababu ya hili tukio kwa sababu siyo sheria ya kiislam. Kukataza watu kula hadharani wakati wa mfungo siyo sheria ya kiislam bali ni sheria iliyowekwa na binadamu.
 
Wakristo hatuko na tabia za udini ila na hao wasiokuwa Islams huko kwa wavaa kobazi kwnn wasifuate tu taratbu kuepusha jam ndgo ndgo kama hzo
Wafuate taratibu zipi? Yaan unilazimishe kufunga kula kisa ww umefunga? Juzi Kuna mama ntilie huku Paje Unguja kakamatwa majirani wamemchongea kisa anapika chakula kwa ajili ya kuwauzia watu na uzuri ni kwamba hicho chakula chenyewe hapiki hadharani Bali kwenye faragha hata hao walaji pia wanakula kwenye faragha alafu mtu anakuja kukukamata kama vile unapika gongo sasa kama sio ujinga ni nini?
 
Upuuzi mtupu.

Unalazmisha imani yako kwa wengine.

Unamlazmishaje mtu asiye muislam kufunga kwann nisile hadharani kwani nimeiba?upumbavu sana kwa hawa wavaa kubazi
 
Yani ukishaona dini linalazimisha kwa nguvu kutekeleza matakwa yake ujue ni feki. Uislamu umejaa mastory ya fiction na uongo mwingii ila lengo lilikuwa ni kutawala tu.
Naam,ni kama hekaya za kuamini akhera kuna pombe na bkra 73[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Majina yao (siwezi kuita wakosaji kwenye dini maana MUNGU ni mkubwa kuliko ufahamu wetu) karibia wote ni waislam. Sasa kwa nini wasingewapeleka kwa mashekhe wakapewa elimu ya dini kuhusu funga hakika Mwenyezi Mungu angefurahi kwa kuzidi kupeana elimu dini na kuokoana waja wake kuliko kuhukumu kwa kupelekana mahakamani kupitia utashi wa mwanadamu ambao si kitu mbele ya Mwenyezi MUNGU.
 
Ni rahisi Wahindu, Wabudha, kuchanganyika na imani nyingine ila uislamu ni tatizo

Jambo la kiimani la mtu, linalazimishwa liwe sheria kwa watu wengine
 
Zanzibar ni dola la kiislam?

serikali ya Zanzibar inaongozwa na katiba ya kiraia au Quran?

mahakama zinashtaki waliokamatwa wanakula wakiwemo wakristo kwa sheria za kiislam?


Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Zanzibar ACP Abubakar Khamis Ally amesema Jeshi hilo litaendelea kuwakamata wale wote wataoonekana au kukutwa wakila chakula mchana hadharani katika mwezi huu mtukufu kwa waislam ramadhani.

ACP Abubakar Khamis Ally amenukuliwa na AyoTV akisema “Kwa mwezi huu kwa ramadhani kwa tamaduni ya Nchi hii hata sehemu za vyakula utakuta zimefungwa kwahiyo sio vyema wakakaa maeneo wakala hadharani hilo ni kosa na ndio maana tunawakamata na tutaendelea kuwakamata kwani inaleta kero kwa wengine”

Hadi sasa ni Watu 12 wamekamatwa kwa kosa hilo

MY TAKE:

Mfungo wa ramadhani ni suala la Dini sio utamaduni, kusema kwamba kwavile Zanzibar imejaa waislam ni utamaduni au utaratibu wao hivyo kila mtu afuate hata wasio waislam sio sawa, huu ni ubaguzi wa kidini.

huu ni mwezi mtukufu wa Ramadan kwa waumini tu, wasio waumini waachwe waendelee na maisha yao ya kawaida, jambo lisilo la wote lisilazimishwe kuonekana ni la wote kiasi cha kutumia mpaka polisi.

Tanzania (bara na visiwani) ni nchi huru kila mtu ana uhuru wa kufanya anachotaka maadam havunji sheria za nchi (sio za dini), kila mtanzania ana haki ya kula hadharani .
 
inasemekana wako mbioni kuitengeneza
Siyo mbali, kila kitu kinaenda muswano na uzuri majengo ya kibenki tumewajengea wenyewe watanganyika as benki ya kufanyia mazoezi wanayo as 'BENKI YA WATU WA ZANZIBAR -PBZ'

Hapo utawadanganya nini?
 
Katiba inafatwa kutokana na utashi wa Rais aliyeko madarakani. Hata mahakama huamua kutokana na mtazamo wa rais anayekuwa madarakani, na sio Sheria zinavyosema.
Hawa watu watakuja kuleta machafuko kwenye hii Nchi hadi naogopa.
 
Back
Top Bottom