Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
1. unajua majukumu na wajibu wa mzazi kwa watoto?Mkuu huu ni Mjadala mbona kama umechukia. Changia kwa kujenga sio kususa vile
Tija gani kwenye jamii wakati mtoto wako umemsomesha kwa milioni 20 sahizi anazunguka mjini na gari za OYA akidaka wadaiwa sugu na degree yake ya sociology huku akiwa analipwa tshs 300,000 kwa mwezi (hana bima wala NSSF)1. Hatusomeshi watoto ili waje watulipe. Hilo ni jukumu la mzazi kuhakikisha mtoto wake anapata elimu ili awe na tija katika jamii.
Kwa hiyo wote waliosoma kwa million ishirini wanazunguka na Oya na kulipwa 300,000?Tija gani kwenye jamii wakati mtoto wako umemsomesha kwa milioni 20 sahizi anazunguka mjini na gari za OYA akidaka wadaiwa sugu na degree yake ya sociology huku akiwa analipwa tshs 300,000 kwa mwezi (hana bima wala NSSF)
Uhalisia huu naongea kwa watu ambao hawana hela, anayemsomesha mtoto wake 10 M kwa mwaka hiyo sio English Medium mkuu bali ni international school (vitu viwili tofauti)Somesha unapoweza. 800,000/- kwa mwaka ni hela nyingi kama huna hela. Watu wanasomesha international schools 10+ millions na Bado wananunua viwanja na wanawekeza.
Somesha unapopaweza.
Yaani unashauri tununue viwanja badala ya kuwapeleka watoto shule haujui kuwa wakikosa Elimu watakuja kuuza hizo mali ulizochuma ili waruke nyoka na kuleta heshima bar..Ni ushauri tu, mwenye kuona mantiki kwa nilichokiandika na aione
Sekta binafsi sio OYA tu ila asilimia kubwa ukikutana na graduate sekta binafsi basi wewe assume tu analaliwa, ujira wa kuvutia sekta binafsi ni changamoto sana hasahasa katika kampuni ndogo na za size ya katiKwa hiyo wote waliosoma kwa million ishirini wanazunguka na Oya na kulipwa 300,000?
Watakuuziaje mali wakati hela yote ya kuwekeza kwenye hiyo mali ungewekeza kwenye elimu YaoYaani unashauri tununue viwanja badala ya kuwapeleka watoto shule haujui kuwa wakikosa Elimu watakuja kuuza hizo mali ulizochuma ili waukesha nyoka tu..
Elimu ndio ufunguo wa vitu vingi sio ajira tu mkuu.
Heshima Gani mtoto wako mwaka wa Tano tangu kamaliza chuo anasugua rimoti sebuleni wakati wewe magonjwa ya kizee kama gout yanazidi kukunyemeleaKuna issue ya hadhi, ambayo haihusiani na elimu atakayopata mtoto bali pia heshima atakayopata mzazi.
Think think.
Nakwambia watoto wakikosa Elimu watauza mali utakazowaachia Elimu ndio kila kitu faza fungua kichwa hicho..unataka kudumaza watoto kisa 20m daah.Watakuuziaje mali wakati hela yote ya kuwekeza kwenye hiyo mali ungewekeza kwenye elimu Yao
Na wewe hizo akili za kuuza mali mbona huna wakati umesoma saint kayumba ?
Misemo yenu mwingine sio hata ya kuiga wala kuishi ndani yake maana imekaa kimaskini sana ; we unadhani hao wahindi waliotapakaa huko mtaani nao wana mawazo kama haya..... Yaani asomeshe afu ainue mikono kumuachia mola hatma ya mbegu yake mwenyewe?unajua maana ya msemo kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?
Tatizo ni mawazo yako finyu kuhusu elimu, wewe umeshikilia hapo kwenye ajira ya serikali tu. Unadhani hizo business unazosema awekeze mzazi, bila ya watoto kuwa na elimu muafaka zitaweza kuendelea? Hayo mapesa atakayoinvest mzee kwenye mashughuli yake yatashughulikiwa na nani?Tatizo tumekazania kurithisha watoto elimu afu wanaishia kuja kutumikishwa kwa ujira ambao unaweza usifike hata tshs 500,000 kwa mwezi (yaani umemwaga milioni 20 kwenye elimu ya mwanao afu anaishia kulipwa vichenchi
Ndugu yangu.... Inakuuma nini wenyewe kuuza hizo mali kama uliwarithisha wewe ukatangulia mbele ya haki? Yaani uwaachie degree uchwala za bongo au uwaachie viwanja vyenye thamani ya mamia ya mamilioni huko goba.... Kipi Bora ?Nakwambia watoto wakikosa Elimu watauza mali utakazowaachia Elimu ndio kila kitu faza fungua kichwa hicho..unataka kudumaza watoto kisa 20m daah.
Hamna anayesomesha mtoto English Medium ana target za aina hiyo , tunadanganyana hapaHao wanaosomesha kwa gharama kubwa ujue target ya kazi za watoto wao pia kwa asilimia kubwa zinakuwa za kimataifa.
Nipe mchanganuo wa hizo tathminiBwana wee! Kabla ya wewe kufanya tathmni. Hata sisi tulishafanya muda sana. Ndio maana tukaja na maamuzi hayo. Wewe ukiona gharama peleka huko kwenye unafuu.
Kila jambo linalofanywa au kutekelezwa lina mipango yake.
Nyie Kila siku ni kuandama wazazi wanaosomesha EM.