Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

Kila mtu ana vipaumbele vyake,kama mtu kaamua kupoteza pesa yake kwa namna hiyo HAKUNA SHIDA.
Sio kaamua kupoteza pesa bali hata tathmini ya pesa anayotumia hajafanya; wazazi wengi wanasomesha on auto drive aka Fulani anasomesha hivi na mimi nafanya na sio kwamba eti wana mipango la hasha
Siwezi kuita "Vipaumbele" wakati hadi mtoto anaanza chuo mzazi hajui wala interest kindaki ya mtoto wake; mnasomesha kimazoea na sio kwa Vipaumbele
 
Mimi nawapa Elimu na Mali mazee kwa kuwa nishapambana kupata mali wao kazi yao ni kukua tu kwenye misingi bora ya Elimu kama familia za kihindi tu..
 
Vipaumbele mkuu, jifunze kutofautisha uwekezaji na starehe; starehe sio lazima iwe na mantiki ila uwekezaji wa elimu lazima uwe na mantiki
Hela inayochomwa kwenye uzinzi na pombe nitaipangiliaje katika maendeleo?
Mantiki ya uwekezaji kwenye elimu ni mtoto kupata elimu bora kwenye mazingira mazuri ya kujifunzia.
 
Ndio maana nimetoa alternative model ambapo mtu ana supplement saint kayumba na tuition
 
Hebu tuchukulie mfano wa mzazi aliyekuwa akitumia wastani wa Tsh 3,000,000 kwa mwaka kwa mtoto mmoja katika elimu tangu miaka ya 1990s. Kama angewekeza pesa hii kwenye kununua viwanja jijini Dar es Salaam, leo hii thamani yake ingekuwa ya mamilioni.
English medium gani walikua wanasomesha million 3 kwa mwaka miaka ya 90s, and now wewe unatolea mfano wa laki 8 kwa mwaka?!hii ndiyo shida ya motivesheno spikaz.
 
Kuna hili andiko nimelipata huko, labda linaweza kutufikirisha (C&P):-

Trump Takes On Africa!!

TRUMP HAS SPOKEN AGAIN. THIS TIME ITS JUST THE PAINFUL TRUTH SPOKEN IN SYMPATHY

"DONALD TRUMP'S SPEECH ON "RISE UP AFRICANS".

AFRICANS are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives, alcoholism, witchcraft, indulging in unprotected sex and having many children they can't feed, pretending in church being like a holy Christian, jealousy, fighting and complaining of bad leadership; but, yet refuse to take a decisive action and protest to remove the Brigands/Tyrants/Despots from position of power.

Let us all accept the fact that the black man in Africa is a symbol of poverty, mental inferiority and emotional incompetence.To make the matters worse, he can do everything possible to defend his stupidity. Give them money for development and they will fight and create hatred and enmity for themselves because everyone in power wants it to his or her own use , even taking it back to Europe using private and chartered planes, into their own personal foreign accounts.

Drill oil wells for them and they will not have peace all the days of their life.

See, for instance, what's happening in Nigeria (a Country blessed with abundant resources), Southern Sudan, Mozambique, DRC just to mention a few.

"This proves to anybody including a stupid fool that Africans do not know what they want.

"They are like monkeys looking for already ripping banana all over the world !!!.

Therefore that the white man is created to rule the black man, Africans will always have day dreams.

And here is the creature (the African) that lacks foresight but only sees what is near him and still fails to know what to do"

A black man is stupid to the extent that he cannot plan for his life beyond a year. Therefore how can they develop and live longer.

"Corruption... (And China) is a big abomination, but in Africa, it's so huge that it is slowly becoming an acceptable way of life!!!.

( Shame, isn't it? )

They sing and rejoice to their corrupt political leaders.

They worship their scandal-ridden religious leaders like their gods. Who build very big churches , much bigger than Factories and Mansion-houses using their fellow power men's money in the name of Tithing and Offering to God, yet its all for him or her. At times using stolen money using scandalous means.

Lest you forget, these so called Africans are praising, dancing and praying for the people that have impoverished them, and who comes to hide their loot here in Europe.

Then which fool argues that the black man is not born a beggar, grows a beggar, looks a beggar, falls sick as a beggar and dies a beggar. this has been proven beyond reasoning.

I wonder why even up to now most Africans still go to school by force, and those who are at school are are just drug addicts who don't know what took them there.

The body of Africans is a very fertile ground for all diseases in the world because they don't fear even the deadliest disease including HIV/AIDS.

This leaves me with a question:- ...... Are our eyes created the same with those Africans?

I hear there are still cultures in Africa that prohibit them from using latrines which is very annoying. Some even have church services in the open, saying their god does not want to be worshiped in buildings made by man Can you believe this !!!!

"They cried for independence but have failed to rule themselves". Now they all ask the same whiteman to come back and develop their countries for them in the name of foreign investment.

For sure being African is a very untreatable disease that even prayers are not enough.

They have minerals but they cannot do anything with it. Therefore let us (whites) go to Africa and pick what we can pick and leave what is of no use. Poverty is a disease to the whites, but to the blacks it is very normal.

"Look at what is currently going on in Nigeria National Assembly. Legislators amending the constitution to favor themselves at the expense of two (200) million Nigerians.

"Majority of these legislators are treasury looters who are intellectually barren but using the ill gotten wealth to oppress the citizens of that great country".

"What a shame"!

Black people with black sense. The worst tragedy in Africa is that if you dare stand up and speak up for what's right, you may end up regretting your idea.

"The few wise and open-minded Africans who have tried to educate these fools about civilization have met the worst.They have been pushed hard on the wall, they have been silenced and others have to run away to Europe for safety, while some are very unfortunate and have been killed through persecution. Some have been jailed for ever until they die in prison just for asking .... WHY ".

Before I finish, let me tell Africans that before you jump and call me A RACIST, an ANTI-BLACKS or whatever term you may wish to use against me,1st tackle runaway corruption, dreadful terrorism, tribalism, poverty, unemployment, diseases, illiteracy, ignorance, and inequality, that have put your whole continent on the verge of collapse".

"Hate me or love me, I don't care. I know this is the plain truth which will never see the light of the day to the cowards that are afraid to be told as it is".

By- Donald .J. Trump.
 
Trump hajawahi sema haya ila mengi Yana mantiki....... Nadhani baadhi ya kauli zilitamkwa na viongozi makabulu kabla ya kuipa South Afrika uhuru
 
Nchi Yenye kila kitu ajira hata laki moja hakuna? Ni aibu
Botswana taifa lenye watu 2.7m tu wanatengeneza ajira 19,000 kwenye mining sector ambazo ziko direct.. na kule wana Diamond na Gold tu kama main minerals.

Wakati huo Tanzagiza yenye watu 61m na madini ya kila aina yanayopatikana hapa duniani mnatengeneza ajira 17,000 tu kwa mwaka ambazo ziko direct kwenye sector nzima ya madini.

Tatizo ni akili zenu na liccm lenu.
 
Mtu kama ana uwezo wa kumsomesha mtoto wake, shule bora kabisa mwache asomeshe. Ni pesa zake, anamudu. Mtoto akipata Elimu bora, inamsaidia kwa mengi huko mbeleni.

Miaka ya karibuni, tumekuwa na walimu si wazuri kwenye shule za Kayumba, ukilinganisha na walimu wa miaka ya nyuma. Acha watu watumie na kuwekeza kwa watoto wao watakavyo. Wanajimudu.
 
Trump hajawahi sema haya ila mengi Yana mantiki....... Nadhani baadhi ya kauli zilitamkwa na viongozi makabulu kabla ya kuipa South Afrika uhuru
Hiyo article imekuwa formulate na mabloggers wa huko Nigeria na ndio maana mifano mingi ni ya Nigeria, lakini pamoja na hivyo hakuna la uongo hata moja kwenye hiyo article.
 
Huwa nasema wazazi tutimize wajibu kumpa mtoto anacho staili haihusiani na garama kama unauwezo peleka private huna aende kayumba!! Swala la garama sasa nitatumia garama kwa nani kma sio mtoto wangu mkuu? Sina uwakika wakiona kesho yake lakini naweza kumpa msingi mzuri wa shule na kusoma sio ndo kufanikiwa nataka aje aweze kuishi dunia ijayo, dunia ya kizazi kijcho kam huna shule unaweza shindwa kuingia hata ndni ya nyumba yako em angalia wakati ujao” huku privte kuna vitu vingi vya ziada kwa watoto jitidi mkuu ila pia kayumba sio mbaya kam ndo uwezo wko, binafsi nimesoma kayumba miaka ya90 na haikuwa mbaya ila kwa shuze za kayumba za miaka hii hapana! Mkuu hili swala naona mnajadili sana humu lakini ni hali ya kawaida shule ya milioni2 kwa mwaka kwa mtoto ni kawaida hii mambo ykupenda mserereko ndo inafanya watoto wasipate wanacho staili yni mtoto wako lkini serikali ikusomeshee bure seriously? Bure ina garama zake!!!!
 
Ndugu Rorscharch nimekuona juha baada ya kuandika kuwa unawekeza kwenye elimu ya watoto ili uje upate faida ya uwekezaji kupitia ajira zao. HUU NI UPUMBAVU WA WAZAZI WENGI. Hakuna mzazi aliyeandikiwa barua na hao watoto ili wawazae. Ukimleta mtoto duniani ni wajibu wako kumlea na kumsomesha ili baadae ajitegemee na sio kuja kukulipa fadhila. Mtoto hawajibiki kwa mzazi. Mtoto sio investment. Kama unaogopa gharama za elimu tumia condom.
 
Shule sio urithi wa mtoto,mtoto inapaswa apewe urithi wa hela,mashamba,nyumba na kampuni ili aviendeleze….! Acheni utapeli wenu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…