uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Umri wangu unafanana na wako, kwahiyo ungesoma saint kayumba ungekua umeoa ukiwa na miaka 20? Sijaelewa
Nafikiri upo sahihi, mimi ndo nakosoa kujadili haya na wewe! Uwe na siku njema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wangu unafanana na wako, kwahiyo ungesoma saint kayumba ungekua umeoa ukiwa na miaka 20? Sijaelewa
Sio kaamua kupoteza pesa bali hata tathmini ya pesa anayotumia hajafanya; wazazi wengi wanasomesha on auto drive aka Fulani anasomesha hivi na mimi nafanya na sio kwamba eti wana mipango la hashaKila mtu ana vipaumbele vyake,kama mtu kaamua kupoteza pesa yake kwa namna hiyo HAKUNA SHIDA.
Mimi nawapa Elimu na Mali mazee kwa kuwa nishapambana kupata mali wao kazi yao ni kukua tu kwenye misingi bora ya Elimu kama familia za kihindi tu..Ndugu yangu.... Inakuuma nini wenyewe kuuza hizo mali kama uliwarithisha wewe ukatangulia mbele ya haki? Yaani uwaachie degree uchwala za bongo au uwaachie viwanja vyenye thamani ya mamia ya mamilioni huko goba.... Kipi Bora ?
Yaani umhukumu mwanao na umaskini akawe mwalimu simanjiro huko au bank teller benki ya ualimu eti kisa unaogopa angeuza viwanja vyenye thamani ya milioni 800? Are you serious?
Hapo sawaMimi nawapa Elimu na Mali mazee kwa kuwa nishapambana kupata mali wao kazi yao ni kukua tu kwenye misingi bora ya Elimu kama familia za kihindi tu..
Mantiki ya uwekezaji kwenye elimu ni mtoto kupata elimu bora kwenye mazingira mazuri ya kujifunzia.Vipaumbele mkuu, jifunze kutofautisha uwekezaji na starehe; starehe sio lazima iwe na mantiki ila uwekezaji wa elimu lazima uwe na mantiki
Hela inayochomwa kwenye uzinzi na pombe nitaipangiliaje katika maendeleo?
Ndio maana nimetoa alternative model ambapo mtu ana supplement saint kayumba na tuitionEM zina ziada:
- Mazingira mazuri ya kujifunzia
-walimu wanaowajibika
-Nidhamu ni kipaumbele Kwa shule karibu zote
-Wanafundisha elimu ya dini Kwa uhakika
-usafi wa vyoo uko vizuri
-lugha za ziada kama Kifaransa zinafundushwa
-Usalama wa mtoto angalau unazingatiwa
Sasa huwezi kupata hivi vyote bila kulipia
English medium gani walikua wanasomesha million 3 kwa mwaka miaka ya 90s, and now wewe unatolea mfano wa laki 8 kwa mwaka?!hii ndiyo shida ya motivesheno spikaz.Hebu tuchukulie mfano wa mzazi aliyekuwa akitumia wastani wa Tsh 3,000,000 kwa mwaka kwa mtoto mmoja katika elimu tangu miaka ya 1990s. Kama angewekeza pesa hii kwenye kununua viwanja jijini Dar es Salaam, leo hii thamani yake ingekuwa ya mamilioni.
Basi anzia miaka ya 2000 kama itamake sense zaidi au hata 2010English medium gani walikua wanasomesha million 3 kwa mwaka miaka ya 90s, and now wewe unatolea mfano wa laki 8 kwa mwaka?!hii ndiyo shida ya motivesheno spikaz.
Trump hajawahi sema haya ila mengi Yana mantiki....... Nadhani baadhi ya kauli zilitamkwa na viongozi makabulu kabla ya kuipa South Afrika uhuruKuna hili andiko nimelipata huko, labda linaweza kutufikirisha (C&P):-
Trump Takes On Africa!!
TRUMP HAS SPOKEN AGAIN. THIS TIME ITS JUST THE PAINFUL TRUTH SPOKEN IN SYMPATHY
"DONALD TRUMP'S SPEECH ON "RISE UP AFRICANS".
AFRICANS are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives, alcoholism, witchcraft, indulging in unprotected sex and having many children they can't feed, pretending in church being like a holy Christian, jealousy, fighting and complaining of bad leadership; but, yet refuse to take a decisive action and protest to remove the Brigands/Tyrants/Despots from position of power.
Let us all accept the fact that the black man in Africa is a symbol of poverty, mental inferiority and emotional incompetence.To make the matters worse, he can do everything possible to defend his stupidity. Give them money for development and they will fight and create hatred and enmity for themselves because everyone in power wants it to his or her own use , even taking it back to Europe using private and chartered planes, into their own personal foreign accounts.
Drill oil wells for them and they will not have peace all the days of their life.
See, for instance, what's happening in Nigeria (a Country blessed with abundant resources), Southern Sudan, Mozambique, DRC just to mention a few.
"This proves to anybody including a stupid fool that Africans do not know what they want.
"They are like monkeys looking for already ripping banana all over the world !!!.
Therefore that the white man is created to rule the black man, Africans will always have day dreams.
And here is the creature (the African) that lacks foresight but only sees what is near him and still fails to know what to do"
A black man is stupid to the extent that he cannot plan for his life beyond a year. Therefore how can they develop and live longer.
"Corruption... (And China) is a big abomination, but in Africa, it's so huge that it is slowly becoming an acceptable way of life!!!.
( Shame, isn't it? )
They sing and rejoice to their corrupt political leaders.
They worship their scandal-ridden religious leaders like their gods. Who build very big churches , much bigger than Factories and Mansion-houses using their fellow power men's money in the name of Tithing and Offering to God, yet its all for him or her. At times using stolen money using scandalous means.
Lest you forget, these so called Africans are praising, dancing and praying for the people that have impoverished them, and who comes to hide their loot here in Europe.
Then which fool argues that the black man is not born a beggar, grows a beggar, looks a beggar, falls sick as a beggar and dies a beggar. this has been proven beyond reasoning.
I wonder why even up to now most Africans still go to school by force, and those who are at school are are just drug addicts who don't know what took them there.
The body of Africans is a very fertile ground for all diseases in the world because they don't fear even the deadliest disease including HIV/AIDS.
This leaves me with a question:- ...... Are our eyes created the same with those Africans?
I hear there are still cultures in Africa that prohibit them from using latrines which is very annoying. Some even have church services in the open, saying their god does not want to be worshiped in buildings made by man Can you believe this !!!!
"They cried for independence but have failed to rule themselves". Now they all ask the same whiteman to come back and develop their countries for them in the name of foreign investment.
For sure being African is a very untreatable disease that even prayers are not enough.
They have minerals but they cannot do anything with it. Therefore let us (whites) go to Africa and pick what we can pick and leave what is of no use. Poverty is a disease to the whites, but to the blacks it is very normal.
"Look at what is currently going on in Nigeria National Assembly. Legislators amending the constitution to favor themselves at the expense of two (200) million Nigerians.
"Majority of these legislators are treasury looters who are intellectually barren but using the ill gotten wealth to oppress the citizens of that great country".
"What a shame"!
Black people with black sense. The worst tragedy in Africa is that if you dare stand up and speak up for what's right, you may end up regretting your idea.
"The few wise and open-minded Africans who have tried to educate these fools about civilization have met the worst.They have been pushed hard on the wall, they have been silenced and others have to run away to Europe for safety, while some are very unfortunate and have been killed through persecution. Some have been jailed for ever until they die in prison just for asking .... WHY ".
Before I finish, let me tell Africans that before you jump and call me A RACIST, an ANTI-BLACKS or whatever term you may wish to use against me,1st tackle runaway corruption, dreadful terrorism, tribalism, poverty, unemployment, diseases, illiteracy, ignorance, and inequality, that have put your whole continent on the verge of collapse".
"Hate me or love me, I don't care. I know this is the plain truth which will never see the light of the day to the cowards that are afraid to be told as it is".
By- Donald .J. Trump.
nina heshima kubwa sana kwako, kwenye maandishi yangu kuna sehemu yeyote nimezungumzia kuhusu maisha kuwa au kutokuwa mazuri?Kuna wanafunzi wengi tu wamesoma Kayumba na Maisha yanawaendea safi and vice versa acha kukariri.
Botswana taifa lenye watu 2.7m tu wanatengeneza ajira 19,000 kwenye mining sector ambazo ziko direct.. na kule wana Diamond na Gold tu kama main minerals.Nchi Yenye kila kitu ajira hata laki moja hakuna? Ni aibu
Hiyo article imekuwa formulate na mabloggers wa huko Nigeria na ndio maana mifano mingi ni ya Nigeria, lakini pamoja na hivyo hakuna la uongo hata moja kwenye hiyo article.Trump hajawahi sema haya ila mengi Yana mantiki....... Nadhani baadhi ya kauli zilitamkwa na viongozi makabulu kabla ya kuipa South Afrika uhuru
Huwa nasema wazazi tutimize wajibu kumpa mtoto anacho staili haihusiani na garama kama unauwezo peleka private huna aende kayumba!! Swala la garama sasa nitatumia garama kwa nani kma sio mtoto wangu mkuu? Sina uwakika wakiona kesho yake lakini naweza kumpa msingi mzuri wa shule na kusoma sio ndo kufanikiwa nataka aje aweze kuishi dunia ijayo, dunia ya kizazi kijcho kam huna shule unaweza shindwa kuingia hata ndni ya nyumba yako em angalia wakati ujao” huku privte kuna vitu vingi vya ziada kwa watoto jitidi mkuu ila pia kayumba sio mbaya kam ndo uwezo wko, binafsi nimesoma kayumba miaka ya90 na haikuwa mbaya ila kwa shuze za kayumba za miaka hii hapana! Mkuu hili swala naona mnajadili sana humu lakini ni hali ya kawaida shule ya milioni2 kwa mwaka kwa mtoto ni kawaida hii mambo ykupenda mserereko ndo inafanya watoto wasipate wanacho staili yni mtoto wako lkini serikali ikusomeshee bure seriously? Bure ina garama zake!!!!Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji huu unatoa faida inayolingana na gharama zinazotumika?
Katika makala hii, nitachambua gharama za kumsomesha mtoto hadi chuo kikuu, nikiilinganisha na hali halisi ya soko la ajira nchini Tanzania. Pia, nitatoa tafakari mbadala kuhusu thamani ya ardhi kama uwekezaji, pamoja na mbinu ambazo mzazi anaweza kutumia kupunguza gharama za elimu bila kuathiri ubora wa maarifa anayoyapata mtoto wake.
GHARAMA ZA KUMSOMESHA MTOTO: TAKWIMU ZINASEMAJE?
Wazazi wengi hujitoa kwa hali na mali kugharamia elimu ya watoto wao. Kwa mujibu wa makadirio yafuatayo, mzazi anayemsomesha mtoto mmoja kutoka darasa la kwanza hadi chuo kikuu anahitaji angalau:
1. Elimu ya Msingi (Darasa la 1 - 7):
Tsh 800,000 kwa mwaka x 7 miaka = Tsh 5,600,000
2. Elimu ya Sekondari (Kidato cha 1 - 4):
Tsh 1,200,000 kwa mwaka x 4 miaka = Tsh 4,800,000
3. Elimu ya Juu ya Sekondari (Kidato cha 5 - 6):
Tsh 1,200,000 kwa mwaka x 2 miaka = Tsh 2,400,000
4. Chuo Kikuu (Mwaka wa 1 - 3):
Tsh 2,500,000 kwa mwaka x 3 miaka = Tsh 7,500,000
Jumla ya gharama kwa mtoto mmoja inakuwa Tsh 20,300,000, na kwa watoto watatu inafikia Tsh 60,900,000.
Lakini je, mzazi anayefanya uwekezaji huu ana uhakika wa kupata faida kupitia ajira ya mtoto wake baada ya kuhitimu?
HALI YA SOKO LA AJIRA: UHALISIA ULIOPO
Kwa mujibu wa takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), mwaka wa masomo wa 2023/2024 uliona ongezeko la udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza kufikia 186,289 (Mwananchi).
Hata hivyo, soko la ajira haliwezi kuwahudumia wote. Takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) zinaonyesha kuwa kila mwaka nafasi za kazi mpya serikalini na sekta binafsi hazizidi 50,000. Kwa hesabu rahisi:
Wahitimu wa vyuo kwa mwaka: 186,289
Nafasi za ajira zilizopo: 50,000
Wahitimu wasiopata ajira mara moja: ~136,289
Uwezekano wa kupata ajira mara moja: ~27%
Kwa maneno mengine, asilimia 73 ya wahitimu wa vyuo vikuu hawapati ajira mara moja.
Hili linaibua swali muhimu: Je, mzazi aliyelipa ada kwa miaka 16-20 anaweza kupata mrejesho wa uwekezaji wake ndani ya muda mfupi?
UWEKEZAJI MBADALA: THAMANI YA ARDHI JIJINI DAR ES SALAAM
Hebu tuchukulie mfano wa mzazi aliyekuwa akitumia wastani wa Tsh 3,000,000 kwa mwaka kwa mtoto mmoja katika elimu tangu miaka ya 1990s. Kama angewekeza pesa hii kwenye kununua viwanja jijini Dar es Salaam, leo hii thamani yake ingekuwa ya mamilioni.
Kwa mfano, mnamo 1995, viwanja katika maeneo kama Tegeta vilikuwa vinauzwa kwa kati ya Tsh 500,000 – 2,000,000. Leo hii, kiwanja cha ukubwa wa 1,200m² katika Mbweni kinauzwa kwa Tsh 85,000,000 (Jiji.co.tz).
Kwa maneno mengine, mzazi aliyenunua kiwanja miaka ya 1990s kwa Tsh 2,000,000 leo anaweza kuwa na mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh 200,000,000.
Hii inaonyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mzazi kupata faida kubwa zaidi kwa kuwekeza katika ardhi badala ya kutegemea ajira za watoto wao kama njia ya kupata mrejesho wa gharama za elimu.
NJIA YA KUOKOA GHARAMA ZA ELIMU PASIPO KUPOTEZA UBORA
Je, kuna namna mzazi anaweza kumpa mtoto elimu bora kwa gharama nafuu?
Jibu ni ndiyo!
Njia mojawapo ni kumpeleka mtoto shule za serikali na kisha kuongeza maarifa kwa njia ya tuition.
Mfumo huu umefanikiwa katika nchi kama Kanada, ambako homeschooling na masomo ya ziada (tutoring) vimeongezeka kwa 36% kila mwaka, huku gharama ya elimu kwa mtoto mmoja ikiwa chini kwa 90% ukilinganisha na shule binafsi (Moe.go.tz).
Kwa hesabu rahisi, mzazi anaweza kutumia Tsh 120,000 kwa mwaka kwa tuition bora badala ya Tsh 1,200,000 kwa shule binafsi, hivyo kuokoa hadi Tsh 1,080,000 kwa mwaka kwa mtoto mmoja.
HITIMISHO: NI WAKATI WA KUHOJI UWEKEZAJI WETU KATIKA ELIMU
Hakuna anayepinga thamani ya elimu, lakini ni muhimu wazazi kuhoji kama njia wanazotumia kugharamia elimu zina manufaa makubwa kwa watoto na familia kwa ujumla.
Kwa kutumia shule za serikali pamoja na masomo ya ziada, mzazi anaweza kuokoa hadi 90% ya gharama za shule binafsi na kutumia fedha hizo kwa uwekezaji wa muda mrefu kama ardhi, biashara au hisa.
Uamuzi wa leo utaathiri maisha ya kesho. Je, ni busara kuwekeza zaidi ya Tsh 60,900,000 kwa watoto watatu bila uhakika wa faida, au ni heri kutumia kiasi hicho kwa uwekezaji wenye uhakika wa marejesho?
Ajira ni nini?? Ili mtu ujue kaajiriwa unataka aajiriwe wapi?? Unajuaje kuhusu formal and informal employment??Nchi Yenye kila kitu ajira hata laki moja hakuna? Ni aibu
Shule sio urithi wa mtoto,mtoto inapaswa apewe urithi wa hela,mashamba,nyumba na kampuni ili aviendeleze….! Acheni utapeli wenu hukoHuwa nasema wazazi tutimize wajibu kumpa mtoto anacho staili haihusiani na garama kama unauwezo peleka private huna aende kayumba!! Swala la garama sasa nitatumia garama kwa nani kma sio mtoto wangu mkuu? Sina uwakika wakiona kesho yake lakini naweza kumpa msingi mzuri wa shule na kusoma sio ndo kufanikiwa nataka aje aweze kuishi dunia ijayo, dunia ya kizazi kijcho kam huna shule unaweza shindwa kuingia hata ndni ya nyumba yako em angalia wakati ujao” huku privte kuna vitu vingi vya ziada kwa watoto jitidi mkuu ila pia kayumba sio mbaya kam ndo uwezo wko, binafsi nimesoma kayumba miaka ya90 na haikuwa mbaya ila kwa shuze za kayumba za miaka hii hapana! Mkuu hili swala naona mnajadili sana humu lakini ni hali ya kawaida shule ya milioni2 kwa mwaka kwa mtoto ni kawaida hii mambo ykupenda mserereko ndo inafanya watoto wasipate wanacho staili yni mtoto wako lkini serikali ikusomeshee bure seriously? Bure ina garama zake!!!!