Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Serekali haiwezi kosa namna, ili wafanye mitihani yao, kwa sababu kiidadi wanafahamika na pengine wanajulikana kwa idadi,hili litawatuliza wazazi majumbani na kuipenda serekali yao kuona imeona tatizo na inashughulikia.Nanunua wazo hili..
Shule hizo zimeshafungiwa kuwa exam centers
Alafu ni walimu wa sekondari eti..Shule huwa zinafungiwa kwa kipindi fulani, afu zinafunguliwa.
Mwaka huu ndo zimetia fola,shule 24
Pole sana,Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.
Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?
Naomba kuwasilisha.
Wasimamizi saa zingine hawajui mchezo.Alafu ni walimu wa sekondari eti..
Yani wanapewa sh ngapi hadi wahusike ktk hujuma hii!!??
Huu mfumo umeanza lini?Kwanza kumpeleka Private sio tatizo ila lazima afanye mtihani wa STD 7. Huwezi kufanya mtihani wa Form 2 kama hukufanya mtihani wa STD 7, kwakuwa wamefutiwa matokeo maana yake ni kama hajafanya mtihani sasa.
Mfumo wa sasa hivi mtoto akimaliza STD 7 kuna namba anapewa na ili asajiliwe kufanya mtihani wa Form 2 lazima namba ile utumike, kinyume chake hawezi kamwe.
Wanaokuambia mpeleke tu, wakuambie mwakani wakat anaendelea na huko Secondary basi sharti arudie mtihani wa la Saba, hakuna kona hapo.
Hapana mkuu... Wanahusika na mchezo na wameshiriki 100%Wasimamizi saa zingine hawajui mchezo.
Mchezo unafanyika kabla. Na hao wamedakwa kwa sababu ya kukaririshwa, kuwa unakuta darasa zima linakosa swali moja.
Unakuta darasa zima lina andika kitu 1
Tangu 2019, na hata kabla ya hapo ilikuwa hivyo sema ujanja ujanja tu wa watu
Ngoja tuyaone mtandaoni kama yapo....shule yenyewe kaitaja hapo juuNinachojua NECTA wamefungia kituo cha mitihani (sio shule) fatilia matokeo yake yapo na utayapata.
usipotoshwe humu kwa sasa sajili za wanafunzi zinafanyika kuanzia primary na inahama kila mwaka na hata unapomuhamisha shule ni mfumo sio enzi zetu.
narudia Matokeo ya mwanao yapo na ukifatilia unayapata ni kituo cha mitihani ndicho kimefungiwa (sio shule)
Weka Link tu hapa watajiumga wenyewe.Nitumie namba yako inbox. Nipo naunda group la Whatsapp la wazazi wa watoto wote ambao wamefutiwa matokeo. Tusimame pamoja na kuongea kwa sauti moja
HujitambuiAcha maneno mengi, shule imefutiwa na matokeo pia hayapatikani
Hakuna matokeo huyo naeNgoja tuyaone mtandaoni kama yapo....shule yenyewe kaitaja hapo juu
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Watoto ni wengi.....daahHakuna matokeoView attachment 2434538View attachment 2434539
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
230 hapo kuna Milioni 230 na zaidi zimetafunwaHakuna matokeoView attachment 2434538View attachment 2434539
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu unachoelewa mkuu jitahidi uulizie kwa watu wanaojua,angalia matokeo ya 2021 ndiyo utaelewa ninachozungumziaHakuna matokeoView attachment 2434538View attachment 2434539
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mpeleke tu private hakuna shida, mbn Kuna watu watoto wamesoma mok la sita na wakaenda form 1 mok 4 na chuo wamesoma na degree wanazo.Naomba ushauri wako mkuu
hawajui lolote mkuuu.......Hapana mkuu... Wanahusika na mchezo na wameshiriki 100%