DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni kweli.Haya maneno ananiambia mama yako mzazi ili nikujibu.Kwa hiyo haumuheshimu mamayo?😂😂😂
 
Ni kweli.Haya maneno ananiambia mama yako mzazi ili nikujibu.Kwa hiyo haumuheshimu
Nampa heshima zote kama nilivyosema mwanzoni....Hata wewe pia ambaye umeyaongea nakuheshimu pia......Ukitaka kuishi na mjinga na mjuaji lazima uwe mjinga pia so nimekujibu kwa heshima na wala sijaingiza wazazi wako.....
 
Leo nimeamini wewe ni juha na zuzu kuu.
TISS kazi yao ni nini?
Yaani unasema hawa jamaa hawana manpower ya kuyosha kweli!!!???
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!


Sasa kama hata waziri huwezi kumtaja umeweka hapa hoja ya nini?
 
Ungekaa kimya kuliko kuandika, achana na watu wa data wewe!
Wewe nenda jikoni kasonge ugali wanaume waje kula wakishaanika mambo!
Mpuuzi TU wewe na unadhani unawajua Sana watu wa data ilihali huwajui! Huko jikoni nenda wewe womanizer Mimi nitamwagiza bodaboda aje anichukulie. Nipe location ya ulipo! Nisome Tena Kwa makini Kisha Rudi kwenye reply Yako usome Kama unaniunga mkono bila kujitambua! Acha kukurupuka na angalia idadi ya likes kwenye hoja yangu ndio utajua kuwa sikurupuki kujenga hoja!
 
Nahisi huelewa wako ni mdogo sana!
Huwezi kuelewa nilichomaanisha kwa kundika vile! Na hutaweza,Ila akisoma Mwigulu atanielewa nini namaanisha,
By the way mimi sio chawa na sijawahi kuwa na sio kijana mpuuzi kama wewe, naweza kuwa Baba yako.
Huelewa = uelewa!
Hatupimani hapa Bali kueleweshana! Kuwa babangu weka x. Kuwa mpuuzi sidhani ndio maana Mimi ni member wa jf. Kuwa na nidhamu inayolingana na umri wako basi! Nachelea kukutukana kwani umeshajitukana kwenye reply Yako eti akiisoma uliyemtaja ndiye atakayekuelewa. Kwanini usimmwandikie inbox? Chawa mtiifu wa mtuhumiwa.
 
Nakubliana na wewe 1000%
Sasa ni jukumu la mwenye jukwaa Maxence Melo kutafakari maboresho gani yafanyike kulingana na ukweli kwamba JF inazidi kupoteza ushawishi
Kuna wajumbe humu wanafikiri humu ni kama FB au Twitter hasa walew wanaolipiwa bundle za kufanyia propaganda!
 
Jamaa ndie don wa ile timu ya Singida nasikia tozo zinaishia huko. Anyway tuachane na hiyo team, nasikia mke wake ana kampuni ya betting ndio sababu ya kuondoa kodi zote kwenye betting company sasa hivi.

Vidogo vidogo jamaa ameagiza mabasi 60 ya Esther na jamaa yupo fresh tu, na wananchi tupo tu tunapush hash tag ya kazi iendelee
 
Nampa heshima zote kama nilivyosema mwanzoni....Hata wewe pia ambaye umeyaongea nakuheshimu pia......Ukitaka kuishi na mjinga na mjuaji lazima uwe mjinga pia so nimekujibu kwa heshima na wala sijaingiza wazazi wako.....
Vema.Usirudie ujinga.Nitakukera.
 
The best option naona ni viongozi wa umma kudeclare mali zao in public ili tuwe na check ya kujiridhisha kwamba hawafuji mali za umma. Kama Mwiguli ana legitimate source of income, hamna ubaya ata akiwa na bus 100 mpya
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!
Mambo ya kulamba asali
 
ACHA UPUUZI HAPA, KAMA SHIDA ZAKO PELEKA KWA WAZEE WAKO.
 
Watanzania wote ni maskini bwashee

Matajiri huwekeza kwenye Kilimo na Teknolojia

Maskini huwekeza kwenye malori na kamari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…