DOKEZO Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Uko sahihi, Na hapa ndiyo ambapo changamoto itaibukia.

Nimempa mtaalamu wa huduma za ustawi wa jamii atuongoze Ili twende salama. Nia njema iende sahihi ili tufanikiwe
Mheshimiwa Gwajima asante sana kwa hili. Huyu mama anachofanya hakikubaliki hata kidogo. Kuna namna nzuri ya kushughulikia haya mambo na siyo huu ujinga anaofanya. Tafadhali sana chukueni hatua huu ujinga usiendelee
 
Imefunguka, nimempa kamishna wa ustawi wa jamii afanyie kazi. Ahsanteni sana kwa ushirikiano.
Hongera Waziri Gwajima kwa kuwa proactive. Nimefurahi kuona namna ulivyopata habari na kujielekeza katika kulitatua. Mungu akubariki latika juhudi zako za kujenga Tanzania yenye watoto wenye matumaini.
 
FaizaFoxy,
Kwamba Mh. Waziri ajue yajayo vichwani mwa Watanzania wenye kichaa..
Yani ilibidi ajue Anachoenda kufanya Lilian!!?

Alafu mbona keshachukua hatua.

At least she is the only Minister that has this live engagement with us. We mwanamke wewe..

Give Credit when it's due..

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekankama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa


Sioni Kama udharirishaji,Kama huudumii mtoto na mtoto anajua tusemaje sasa? Au mtoto aseme vipi. Huo Ndio ukweli na ukweli usemwe wazi,Yaan nikojoe tu alafu niondoke mwanangu Aishi vipi.
 
Pokea maua yako Mheshimiwa Waziri kwa uthubutu wako
 
Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekankama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa

Namuunga mmono Lilian Mwasha.

Ujinga mwingi sana unafanyika majumbani na wanawake hawana pa kukimbilia wala pa kusemea kwa sababu hata hayo madawati yanahudumiwa na wengi wanaonyanyasa wanawake huko majumbani.


Dkt. Gwajima D naamini bado jamii inahitaji elimu ya familia kabla ya khinvia kwenye kuunda familia
 
Ukishasikia Mwasha sijui Macha . Ujue ni mpunga tu unatafutwa. Manka kama Manka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…