Akiongea na wandishi wa habari hivi karibuni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa.
Katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM,H Polepole alisema,"Serikali isije ikajaribu kuwarudisha wagombea walioenguliwa kwani wameenguliwa kutokana na kanuni za uchaguzi"
Pia alisisitiza hata baada ya rufaa,kwa watakao pitishwa kugombea ,wataweka mapingamizi.
Pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara amewahi kunukuliwa,walio ona kuwa wameonewa baada ya kuenguliwa waende mahakamani si vinginevyo
Kwa misimamo ya Polepole ,je CCM watasusia uchaguzi serikali za mitaa?
Je, Mapingamizi yataendelea kuwekwa?