Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Hivi wewe unaishi wapi? unachokiandika huwa unakisoma kabla ya kupost? umejaa kutu ya ujinga usio na kifani
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika

Sasa wale mlikuwa mnasema sheria inafiatwa ni sababu gani tena inafanya mbadilike. Uchaguzi huu mfumo mzima sio mzuri kiwekwe tume huru
 
Sinema zinazidi kushika hatamu
Akiongea na wandishi wa habari hivi karibuni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa.

Katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM,H Polepole alisema,"Serikali isije ikajaribu kuwarudisha wagombea walioenguliwa kwani wameenguliwa kutokana na kanuni za uchaguzi"

Pia alisisitiza hata baada ya rufaa,kwa watakao pitishwa kugombea ,wataweka mapingamizi.

Pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara amewahi kunukuliwa,walio ona kuwa wameonewa baada ya kuenguliwa waende mahakamani si vinginevyo

Kwa misimamo ya Polepole ,je CCM watasusia uchaguzi serikali za mitaa?

Je, Mapingamizi yataendelea kuwekwa?
 
Wamejadiriana,wameona aibu inayokuja kwa hiyo wameona wawambie tu wagombee,hata kama umeshinda mpinzani atakaetangazwa ni kijani kama kawaida yao. Maoni yangu vyama wala visihangaike na uchaguzi huo kwa sasa. Waendelee tu mambo yao mengine,hili limeshapita. Hapo ujue inatafutwa damu.
 
Haitatokea CCM kususia uchaguzi...

Kuna kada kinda kinda nilikua napiga nae story leo...

Hata yeye mwenyewe amekua anasikitishwa sana kwa yanayoendelea...

Cc: mahondaw
 
Kelele zote zile kumbe waliochukua form kugombea kupitia Chadema ni asilimia 19% tu
.....hii ina maana ilikuwa haina upinzani kwa asilimia zaidi ya 80
Sasa data za fake news mbona uongozi wa chadema usema tofauti. Acha uongo😂
 
Pole pole ajitokeze alaani kitendo cha Jafo kujimwambafay na kurejesha wagombea ambao walikataliwa.

Jafo must go!
 
Wamejadiriana,wameona aibu inayokuja kwa hiyo wameona wawambie tu wagombee,hata kama umeshinda mpinzani atakaetangazwa ni kijani kama kawaida yao. Maoni yangu vyama wala visihangaike na uchaguzi huo kwa sasa. Waendelee tu mambo yao mengine,hili limeshapita. Hapo ujue inatafutwa damu.
Taasisi za haki za binadamu za kimataifa na pia mahakama ya uhalifu wa kimataifa wamemwandikia barua waziri Jafu wakimuonya ajiandae kukabiliwa na kesi kwenye mahakama ya The Hague endapo kutatokea uvunjifu wa Amani.
 
Naona watu wanasahau kwamba wanarudishwa majina yao baada ya kulalamika kwamba tumewaonea, sasa na sisi imetuuma wagombea wetu tuliowapitisha bila kupingwa wanalazimika kupigania kura.

Kwa taarifa yenu mtatukuta tu huku kwenye kura, sisi ndio wasimamizi, mtarudi tu kwenye mdomo wa simba,hatujachoka kuwala.

Sasa mnadhani wasimamizi wa uchaguzi ni akina Nani zaidi ya sisi tuliowakata majina yenu?
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa umenajisiwa,hausafishiki kwa matangazo ya kwenye vyombo vya habari.
Ufutwe kabisa,Serikali ikae na vyama vya siasa kuona njia sahihi ya kufanya chaguzi hizi,lakini hii ya kusema wagombea waliofutwa wamerejeshwa si kweli,chaguzi hizi haziwezi kuwa huru asilani
 
Mkirudi mjue mmeliwa. Otherwise mkirudi mdai Haya:
1. Daini katiba huru
2. Tume huru ya uchaguzi
3. Watendaji (Wasimamizi) waondolewe. Wapatikane huru. (Jiulizeni, hivi kilichotokea ni kwa bahati mbaya? Kama walipewa maagizo ya kutenda uovu na wakatenda, Je mkirudi hawatapewa tena maagizo na watekeleze?)
4. Ukaguzi ufanyike kwenye Yale madaftari ya uandikishaji( mshawahi jiuliza tangu uandikishaji kwisha daftari ziko Wapi? Nini kimefanyika humo?)

Hayo ni machache, mengine jiongezeni. Mkija kichwa kichwa tutawala kama kawaida
Hujuma uchakachuaji vurugu za CCM bado vipo chini chini kwa msaada wa polisi lakini angalau sasa wananchi wachague hata mtu akiiba kura anakuwa akijua kichwani ndani ya nafsi kuwa siyo chaguo la wananchi, atakuwa akijishitukia na kutenda haki
 
Back
Top Bottom