Hivi wewe unaishi wapi? unachokiandika huwa unakisoma kabla ya kupost? umejaa kutu ya ujinga usio na kifaniSiasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Akiongea na wandishi wa habari hivi karibuni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa.
Katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM,H Polepole alisema,"Serikali isije ikajaribu kuwarudisha wagombea walioenguliwa kwani wameenguliwa kutokana na kanuni za uchaguzi"
Pia alisisitiza hata baada ya rufaa,kwa watakao pitishwa kugombea ,wataweka mapingamizi.
Pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara amewahi kunukuliwa,walio ona kuwa wameonewa baada ya kuenguliwa waende mahakamani si vinginevyo
Kwa misimamo ya Polepole ,je CCM watasusia uchaguzi serikali za mitaa?
Je, Mapingamizi yataendelea kuwekwa?
Hicho kijitu cha CCM kimekuwa kijinga sana bora hayo matusi apewe baba yake kidogo katajitambuaSikulaumu wewe bali namlaumu babaako aliyeshindwa kukojolea nje!!
wanatakiwa wawe wangapi ndo waitwe wananchi?Wewe na genge lenu la ufipa
Sasa data za fake news mbona uongozi wa chadema usema tofauti. Acha uongo😂Kelele zote zile kumbe waliochukua form kugombea kupitia Chadema ni asilimia 19% tu
.....hii ina maana ilikuwa haina upinzani kwa asilimia zaidi ya 80
Aibu mnoNchi hii bana. Kuna nyakati unaweza kujuta kuwa Mtanzania. Ni aibu tu.
Taasisi za haki za binadamu za kimataifa na pia mahakama ya uhalifu wa kimataifa wamemwandikia barua waziri Jafu wakimuonya ajiandae kukabiliwa na kesi kwenye mahakama ya The Hague endapo kutatokea uvunjifu wa Amani.Wamejadiriana,wameona aibu inayokuja kwa hiyo wameona wawambie tu wagombee,hata kama umeshinda mpinzani atakaetangazwa ni kijani kama kawaida yao. Maoni yangu vyama wala visihangaike na uchaguzi huo kwa sasa. Waendelee tu mambo yao mengine,hili limeshapita. Hapo ujue inatafutwa damu.
Hujuma uchakachuaji vurugu za CCM bado vipo chini chini kwa msaada wa polisi lakini angalau sasa wananchi wachague hata mtu akiiba kura anakuwa akijua kichwani ndani ya nafsi kuwa siyo chaguo la wananchi, atakuwa akijishitukia na kutenda hakiMkirudi mjue mmeliwa. Otherwise mkirudi mdai Haya:
1. Daini katiba huru
2. Tume huru ya uchaguzi
3. Watendaji (Wasimamizi) waondolewe. Wapatikane huru. (Jiulizeni, hivi kilichotokea ni kwa bahati mbaya? Kama walipewa maagizo ya kutenda uovu na wakatenda, Je mkirudi hawatapewa tena maagizo na watekeleze?)
4. Ukaguzi ufanyike kwenye Yale madaftari ya uandikishaji( mshawahi jiuliza tangu uandikishaji kwisha daftari ziko Wapi? Nini kimefanyika humo?)
Hayo ni machache, mengine jiongezeni. Mkija kichwa kichwa tutawala kama kawaida