Halafu anaandika wahobea19%+4%=23%
Iweje CCM awe na 79%
Nauliza tu miye nilisoma HGL
Maendeleo hayana vyama!
Chadema na ACT mnatumika na mabeberu.
Naona Jafo sasa na wapambe wake hawaileweki is too late. Mawazo ni kama vile yanategemea amelala kwa mke yupi siku hiyo. Hakuna sheria badala ya personality tu hapa. Sijawahi kuona mfumo waziri ndiye atakuwa anatoa maamuzi kwenye chaguzi! Na ni wa chama kimoja[emoji23]. Yaani kama huoni kuna tatizo la kisiasa Tanzania wewe ndiyo tatizo.
Sweet Miss Chadema and sweet Miss ACT wazalendo I love you so.much my two sweet babies please shirikini uchaguzi please nyie ni warembo nawapenda.Msiniangushe wapenzi .Msiposhiriki nitajisikia vibaya wapenzi.
wanasikilizia Jiwe anaangukia wapi!Hawa raia natamani niwasikie kauli zao tena maana naona walitoka kumfurabisha mtu fulani kuwa wako nae katika zile kauli nikuteuwe na umtangaze mpinzani mshindi.
Sasa kauli ya jafo najua kashikizwa hata sura yake inaonyesha ivyo na walishatangaza wana ccm washapita bila kupingwa inamaana washindi wametenguliwa au wameambiwa watulie waje kuhalilishwa.
Polepole yuko wapi na anakauli gani na wanasheria wake 2,000