Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Hata anapofanya mabadiliko ya maamuzi ambayo yamaefanywa na wasaidizi wake, amewawajibisha hao wasaidizi? Anasumbua tu kwa kosa ambalo hakufanya yeye. Yeye angefanya maamuzi magumu ya kujiuzulu au kuwawajibisha walioko chini yake walioharibu mchakato wa uchaguzi makusudi kabisa.
 
Naona Jafo sasa na wapambe wake hawaileweki is too late. Mawazo ni kama vile yanategemea amelala kwa mke yupi siku hiyo. Hakuna sheria badala ya personality tu hapa. Sijawahi kuona mfumo waziri ndiye atakuwa anatoa maamuzi kwenye chaguzi! Na ni wa chama kimoja[emoji23]. Yaani kama huoni kuna tatizo la kisiasa Tanzania wewe ndiyo tatizo.

Aiseee

Tatizo lipo kubwa mno!

Washaelewa upinzani una nguvu kiasi gani by now!

Sasa na upinzani,akina Mbowe na wenzake wana leverage 100%,hivyo wataweka masharti makubwa sana mezani!

Na lazima wayatimize!

Mbowe is Michael Jordan of this shit!
 
Mbowe atupe ukweli CHADEMA imesimamisha wagombea wangapi?
 
Dr bashir ,nimekumbuka mwanae ambaye hataki babaake awe katibu abaki na ualimu,heeeheeee Ben sanane Dr za kitanzania bora maji machafuuu. superbug,
 
Sweet Miss Chadema and sweet Miss ACT wazalendo I love you so.much my two sweet babies please shirikini uchaguzi please nyie ni warembo nawapenda.Msiniangushe wapenzi .Msiposhiriki nitajisikia vibaya wapenzi.

Yamekuwa hayo! Basi kama ni wapenzi wako waite faragha muweke ToR namna watakavyoshiriki.
 
Utawala wa CCM unaweweseka sana, wana hofu kubwa sana kwa sababu wananchi hawadanyiki tena na wametambua udhalimu na ulaghai unaofanywa na CCM ili waendeleekuwa dhuluma na kuwanyanyasa wananchi.

Ndugu wanabodi shukurani zangu ziwafikie wananchi wa Tanzania kwa umoja wenu wa kupinga udhalimu na ulaghai wa CCM kupitia harakati za ukombozi wa vyama vingi kama CHADEMA, ACT WAZALENDO, etc.

Kiukweli ni hatua kubwa sana mmefikia na mmeonesha kwamba mmeanza kukomaa kisiasa na kidemokrasia. Mmeonesha ukomavu mkubwa sana katika kupambana na hawa wanyonyaji na watesaji wananchi.

Pamoja na mapambano haya ya kutaka kukomboa nchi yenu kutoka katika mikono ya wadhalimu msisahau kupigania mpate tume huru ya kusimamia uchaguzi ambayo itaundwa na washika dau toka nyama vyote nchini.

Bila kuwa na tume huru hakika CCm itaendelea kutawala milele na milele.
 
Hawa raia natamani niwasikie kauli zao tena maana naona walitoka kumfurabisha mtu fulani kuwa wako nae katika zile kauli nikuteuwe na umtangaze mpinzani mshindi.

Sasa kauli ya jafo najua kashikizwa hata sura yake inaonyesha ivyo na walishatangaza wana ccm washapita bila kupingwa inamaana washindi wametenguliwa au wameambiwa watulie waje kuhalilishwa.

Polepole yuko wapi na anakauli gani na wanasheria wake 2,000
wanasikilizia Jiwe anaangukia wapi!
 
Back
Top Bottom