Uchaguzi wa serikali za mitaa umenajisiwa,hausafishiki kwa matangazo ya kwenye vyombo vya habari.
Ufutwe kabisa,Serikali ikae na vyama vya siasa kuona njia sahihi ya kufanya chaguzi hizi,lakini hii ya kusema wagombea waliofutwa wamerejeshwa si kweli,chaguzi hizi haziwezi kuwa huru asilani
Ushageuka na wewe? Kuna Mwanamuziki mmoja Kenya aliimba wimbo wa KigeugeuHakuna kukimbiana hapa
Anaongea kwa kubabaika sana,hakutulia kabisa kitini...utadhani sio Yule chiriku tuliyemzoea..hahahahh
CCM MSULI MNENE[emoji30][emoji30][emoji30] View attachment 1259686
Hata anapofanya mabadiliko ya maamuzi ambayo yamaefanywa na wasaidizi wake, amewawajibisha hao wasaidizi? Anasumbua tu kwa kosa ambalo hakufanya yeye. Yeye angefanya maamuzi magumu ya kujiuzulu au kuwawajibisha walioko chini yake walioharibu mchakato wa uchaguzi makusudi kabisa.
Eti anasema kama jina lilikatwa alafu ukaenda kushtaki eti jibu likitoka kuwa umeshinda basi jina lako litakuwa kwenye form ya wagombea..
Sasa najiuliza mtu ameshakatwa alafu chama chake kishajivua alafu jina mkaliweke kwenye form ya wagombea ina maana huyo mgombea atakuwa binafsi au??
Uchaguzi umefanyika tayari? Kuna form za kujaza kukubali matokeo. Sio kaa uchaguzi wa monita wa darasa la pili.Leo mchana waziri wa tamisemi katangaza uchaguzi mpya na kubatilisha matokeo hasa kwa maeneo waliopita bila kupingwa kwa chama chake.
Nauliza Jafo anamamlaka ya kumvua mtu ushindi?
Yaani mwanachama wa ccm kapewa mamlaka ya kutengua ushindi bila idhiniya mahakama?
Tena hao viongozi wa dini sio wa kuwasikiliza kabisa, maana mambo ya dhuluma za wazi zinafanyika wako kimya. Nadhani ni vyema vyama vyote vilivyosusia vijitoe kabisa kwenye chaguzi zote mpaka tuwe na tume huru ya uchaguzi. Huu uhuni umekuwa wazi kabisa, na kama sio pressure ya mitandao huu uhuni ungeendelea. Hatuwezi kuendelea kufanya chaguzi ambazo box la kura haliheshimiwi. Nadhani hapa hapa ndio sehemu sahihi ya kudai katiba mpya itakayoleta tume huru ya uchaguzi.
Chadema watabisha na hili.Chadema haina pesa za kampein ,vyovyote vile chadema kinakwenda kufa kifo cha kibudu
State agent
WAlifyeka saa ngapi?! Hatari sanaAmeziona dalili kama hizi ametambua Tanzania ni ya wananchi.View attachment 1259622
Mbowe anahusika vipi kwenye tamko la Jafo?mbowe atupe ukweli chadema imesimamisha wagombea wangapi?