barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hahahaaa..dahViews 6327,replies 237,likes 2.mmh inamaana mumeshindwa hata kulike??
Hiyo ndio dawa!! Kwani wakishiriki tu wamewapa uhalali wa ujambazi wao!!!Shame on you CCM. Chadema komaeni. Hii kura wajipigie wenyewe
Wanajua wananchi hatutawachagua. Lazima wapate kisingizio.Nahisi wataendelea kusimamia msimamo wao
Huyo alikuwa Humphrey Polepole- Human being na huyu wa sasa ni Humphrey Polepole- Parrot.!
!
Msimamo Wa Polepole Uko Wazi Kwamba "Uchaguzi Ukiwa Huru Na Wa Haki Sisiemu Wajiandae Kukabidhi Ikulu"
Unapuyanga hoja huijibu unabwabwajaWanajua wananchi hatutawachagua. Lazima wapate kisingizio.
Mbona unahangaika hivyo?
Kama hamkujiandaa tuone na hapa mtazira nini!!
Hakuna kuweka mpira kwapani, hakuna kuweka mpira kwapani, hakuna kuweka mpira kwani....Anaongea kwa kubabaika sana,hakutulia kabisa kitini...utadhani sio Yule chiriku tuliyemzoea..hahahahh
Tafuteni kisingizio kingine cha kushindwa sasa.Unapuyanga hoja huijibu unabwabwaja
Sisi tunaenda. Wewe endelea na wivu.Hakuna mtu anaenda kupiga kura na subilini muone. Turn out itakavyo kuwa mzee anaweza cancel kununua ndege zaidi make ataona hawampendi
Daaaa!! Yaaani mkuu wewe akili yako imeshikiliwa na watu wengine!! Yaani ni kufuata upepo tu!!! Toka juzi ulikuwa vingine leo baada ya jafo kuja kivingine na wewe tena umebadirisha gia angani!!Wapinzani waliona watashindwa vibaya ikabidi wakimbie
Ila janja yao imestukiwa,hakuna kujitoa
Nchi yangu chini ya chama tawala tunazingatia uchaguzi wa uhuru na wahaki, upinzani msitafute ushindi wa bwerere kwa kuona mnaonewa