Nilisema ni vilaza hajui kujaza fomu. Sasa tumeamua kuwaruhusu muendelee kugombea na ukilaza wenu tuone kama mtakubalika na wananchi mkuu. Tuko nyinyi tu mpaka kieleweke hakuna kukimbia kwa kisingizio cha kitoto. Pesa za wabunge wenu mmekula sasa mnaleta kisingizio sasa tuone sasa sijui kwenye kampeni mtatumia pesa gani wakati pesa za wabunge mlishakula nyinyi mafisadi.
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈