Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Nilisema ni vilaza hajui kujaza fomu. Sasa tumeamua kuwaruhusu muendelee kugombea na ukilaza wenu tuone kama mtakubalika na wananchi mkuu. Tuko nyinyi tu mpaka kieleweke hakuna kukimbia kwa kisingizio cha kitoto. Pesa za wabunge wenu mmekula sasa mnaleta kisingizio sasa tuone sasa sijui kwenye kampeni mtatumia pesa gani wakati pesa za wabunge mlishakula nyinyi mafisadi.

😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈
 
Mi nilishindwa kujiandikisha kwa kweli.
Moyo wangu ulikuwa mzito sana
 
Sitaki pita bila kupingwa tuje kupambana mtaani.
Tumejaza form ya visa na kupata sembuse form ya Tamisemi isiyo original na kusingiziwa kurudisha nakala??
QUOTE="magu2016, post: 33435379, member: 458318"]
Kilaza usiyojuwa kujaza fomu umeruhusiwa kugombea sasa unapiga kelele ya nini?
[/QUOTE]
S
 
Jiwe linavyopenda sifa litamng'oa huyu jamaa ili ajisafishe.
 
Serikali ilikata rufaa ushindi wa marehemu Christopher Mtikila kuhusu wagombea huru, na ikashinda, ikasema wagombea ni mali ya chama, chama kikijitoa maana yake hakuna mgombea.

Lakini inaonekana Jafo, anatamani wagombea huru, kutokana na tamko lake kwamba " Hakuna kujitoa, kila aliyejaza form atashiriki uchaguzi bila kujali matamko ya vyama vyao kujitoa"

Nami namshauri, akashauriane na mwanasheria mkuu na waziri wa sheria na katiba, wapeleke bungeni mabadiriko ya katiba kuruhusu wagombea huru.

Matamanio yake ni mazuri lakini chama chake hakiwezi kuruhusu na hakiwezi kukubaliana naye.

Wenzangu mnasemaje, tumuunge mkono Jafo, tuwe na wagombea huru, au tukubali vyama ujitoe na wagombea wao?!
Jafo na magufuli wake wanatapatapa tu.mimi huwa najiuliza kama magufuli pamoja na kwenda shule bado anatabia hizi zisizo za kistaarabu katika dunia ya watu waliostarabika,je asingekwenda shule angekuwaje ? Si ndo angekuwa kiongozi wa mashetani hapa duniani?
 
Slow slow kawa mchumia tumbo anatia aibu sana.
Amepwaya sana katika medani ya siasa ya vyama vingi.
 
Back
Top Bottom