Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi


😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈
 
Mi nilishindwa kujiandikisha kwa kweli.
Moyo wangu ulikuwa mzito sana
 
Sitaki pita bila kupingwa tuje kupambana mtaani.
Tumejaza form ya visa na kupata sembuse form ya Tamisemi isiyo original na kusingiziwa kurudisha nakala??
QUOTE="magu2016, post: 33435379, member: 458318"]
Kilaza usiyojuwa kujaza fomu umeruhusiwa kugombea sasa unapiga kelele ya nini?
[/QUOTE]
S
 
Jiwe linavyopenda sifa litamng'oa huyu jamaa ili ajisafishe.
 
Jafo na magufuli wake wanatapatapa tu.mimi huwa najiuliza kama magufuli pamoja na kwenda shule bado anatabia hizi zisizo za kistaarabu katika dunia ya watu waliostarabika,je asingekwenda shule angekuwaje ? Si ndo angekuwa kiongozi wa mashetani hapa duniani?
 
Slow slow kawa mchumia tumbo anatia aibu sana.
Amepwaya sana katika medani ya siasa ya vyama vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…