Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Hakuna mbunge asiye na chama anaingia bungeni.

Mbunge akifukuzwa na chama, anapoteza ibunge.
Ila akiweka zuio mahakamani, anaendelea kuwa mbunge mpaka mahakama itakapoamua shauri lao.

Hakuna mgombea huru, usichanganye Viti maalum, wao bado wanavyama vyao.
 
Kushindwa kujaza fomu na kuzirejesha kwa kuchelewa; Uzembe.

Watanzania hatupaswi kufanya majaribio ya Uongozi kwa wazembe kama hawa.
Na watendaji kufunga ofisi na kujificha tuiteje we nyumbu wa Lumumba?
 
Kwa hiyo vyama vya upinzani vitashirikishwa uchaguzi kwa nguvu, au watakuja na tamko jingine kuamua kushiriki uchaguzi!? ngoja nikae hapa pembeni nione..
 
Kushindwa kujaza fomu na kuzirejesha kwa kuchelewa; Uzembe.

Watanzania hatupaswi kufanya majaribio ya Uongozi kwa wazembe kama hawa.
Ni wewe stroke keeling uliyetype haya?
 
Mkuu lengo kubwa la shule si kupata A ama first class bali behavior change.sasa huyu pamoja na kuwa na phD still anabehave kama bushman sasa asingeenda shule ingekuwaje?
Labda naye alikuwa kilaza, unajua vilaza wakipata vyeti, wanaongea utadhani ndiye alikuwa anaongoza darasani mwao.

Kuna mtu alisema vilaza huwa wanaenda sana kusoma, inawasaidia kuficha weakness zao.
 
Hapa ni ma GT tu wana nafasi sio popomas. Rudi nyuma kidogo; Zitto alipofukuzwa CHADEMA!! Je wale wa CUF?? Sina muda wa kukukumbusha. Ila, wakitaka kuwatambua kama ni hallal yawezekana ka kunywa uji wa mgonjwa tu. Ulijua wangerudishwa wote??
 
Kwa hiyo vyama vya upinzani vitashirikishwa uchaguzi kwa nguvu, au watakuja na tamko jingine kuamua kushiriki uchaguzi!? ngoja nikae hapa pembeni nione..
Kushiriki uchaguzi ni moja ya sharti la vyama hivi vya siasa, lakini siyo kwa kulazimishwa.

Hawa waliojitoa wana haki kufanya hivyo.

Uchaguzi ni kuwa na wagombea kwenye nafasi zinazo shindaniwa, ikiwa wameenguliwa unashiriki vipi?!
 
Hii Sinema Kali kulikooo
Sinema ni kali kweli lakini tunaoumia ni sisi wananchi kutokana na kauli zao ambazo soon they come into effect in the society. Ifikie kipindi watanzania tujitambue na tuamue moja, Tanzania ni nchi yetu wote na sio ya kikundi flani ambacho wakilala wakiamka wanaamua watakavyo
 
Hapa ni ma GT tu wana nafasi sio popomas. Rudi nyuma kidogo; Zitto alipofukuzwa CHADEMA!! Je wale wa CUF?? Sina muda wa kukukumbusha. Ila, wakitaka kuwatambua kama ni hallal yawezekana ka kunywa uji wa mgonjwa tu. Ulijua wangerudishwa wote??
Zitto aliwahi mahakamani na kwakuwa alikuwa ana support ya ccm na mahakama na bunge vyao,walimbeba.
Wale wa CUF hawakuwa upande wa Lipumba yaani CUF/CCM, hivyo wameenguliwa kwasababu Lipumba ndiye mwenye maslahi nao kwa sasa.

Mind you, hii ni serikali ya ccm na wanaoviongoza vyombo vya maamuzi wanateuliwa na mwenyekiti wa ccm taifa, nyie mnamuita rais wa JMT.
Hivyo usitegemee maamuzi yakawa kwa faida ya umma, lazima yatakuwa kwa faida ya ccm.

Uzi huu ni wa popoma, usijali sana.
 
Siku Assad alipomwaga Acid " tuna viongozi wenye nguvu kuliko Taasisi ".ni kama alililaani hili taifa wacha tuone nguvu za viongozi zinatuelekeza vipi na wapi.
 
Hahaha wao wanasema nchi ni ya ccm, nyie wengine subirini zamu yenu.

Hi yote ni kwasababu tu CHADEMA kajitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mbona chaguzi ndogo kibao walijitoa hawakujali?!
 
Mkuu lengo kubwa la shule si kupata A ama first class bali behavior change.sasa huyu pamoja na kuwa na phD still anabehave kama bushman sasa asingeenda shule ingekuwaje?
Hajakombolewa na elimu. He looks primitive, he acts primitively, he embraces primitivity. He takes the nation backward.
 
Chiriku wa pwani, mara baridi mara moto. 96% wamenguliwa na 96% watarudishwa kwa lazima.[emoji12][emoji12][emoji12]
Anaongea kwa kubabaika sana,hakutulia kabisa kitini...utadhani sio Yule chiriku tuliyemzoea..hahahahh
 
Hajakombolewa na elimu. He looks primitive, he acts primitively, he embraces primitivity. He takes the nation backward.
Lol, supporters will say, you went too far, with your comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…