Hakuna mbunge asiye na chama anaingia bungeni.Chaguzi zijazo au uchaguzi huu wa tarehe 24 Novemba 2019?? Zimebaki siku ngapi?? Wazo lako zuri sana ila muda hauko vizuri upande wa Jafo. Kuhusu mgombea binafsi tungetamani ila labda uchaguzi mkuu 2020 kuondoa mchanganyiko huu. Hata kama Jafo akiamua kwa nguvu zake kuweka majina hayo yaliyokuwa yameenguliwa nadhani atakuwa ana-force matumizi ya vyama vyao kwani vyama vishajiondoa. Kama chama kimejiengua, inamaana hakina mgombea. Lakini tumeona wakihalalisha wabunge kuendelea kuingia bungeni bila chama. Hao nao watagombea bila hiari ya chama. Mbowe anasema "Kukibaka chama" mchana peupeeee
Mbunge akifukuzwa na chama, anapoteza ibunge.
Ila akiweka zuio mahakamani, anaendelea kuwa mbunge mpaka mahakama itakapoamua shauri lao.
Hakuna mgombea huru, usichanganye Viti maalum, wao bado wanavyama vyao.