Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
NO.
 
Twendeni kwenye uchaguzi tuone kama mtapata hata mtaa mmoja. Tuko na nyinyi hamtoki safari hii hakuna kisingizio hata hao vilaza wasiojua kujaza fomu wameruhusiwa!
Hivi hofu ni nini kwa mazuri yote ayafanyayo jiwe?!! Hatuwezi toka kwasababu wasimamizi wote wa uchaguzi ni wenu, ni mjinga tu ndio anaweza kutumia mbinu ile ile na kutegemea matokeo tofauti!!! Mnataka kuwafanya wapinzani rubber stamps tu, ya mlicho isha kiandaaa!!! SHAME ON U!!
 
Hajakombolewa na elimu. He looks primitive, he acts primitively, he embraces primitivity. He takes the nation backward.
Kinachonishangaza tu ni kuwa hao wanaomlinda au kumtibia pale anapougua hayo matatizo yake wao hawayaoni? it seems like kwa watu wengi wenye nafasi our country is not their priority
 
Kinachonishangaza tu kuwa hao wanaomlinda au kumtibia pale anapougua hayo matatizo yake wao hawayaoni? its seems kwa watu wengi wenye nafasi our country is not their priority
Wao wanamtumikia kafiri...
 
Mimi kwenye hii awamu huwa nawasifia kwenye halaiki lakini siwapendi hawa viongozi hususani wa CCM hata bure
 
Lol, supporters will say, you went too far, with your comment.
Lakini ni uwongo au ukweli? Kama nimenena uwongo, nipo tayari kufuta.

Ubinadamu hupimwa kwa ustaarabu. Na ustaarabu ni kujua kuwa kila aitwaje mwanadamu ana utu na haki za msingi kama zako. Ukikosa ustaarabu, na ukawa na nguvu, unaweza kuua, kuteka au kuwatesa watu wengine. Haya yaliyotendwa na CCM kwenye mchakato kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni matokeo ya primitivity. CCM wanaamini wao ni binadamu zaidi, wanaamini wao ni watanzania zaidi, wanaamini hawatakiwi kushindanishwa na yeyote. Wanaamini kila mtanzania anatakiwa atii lolote linalotoka kwa chama chao. Tunatakiwa kuwa watii kwa jamhuri siyo kwa chama au kwa watawala. Watawala na vyama vinaweza kupotoka lakini Jamhuri haiwezi kupotoka. Na yale yaliyo sahihi kwa Jamhuri yetu yameelekezwa na Katiba na Sheria mbalimbali.

Afrika, ukiondoa mataifa machache, viongozi wengi ni primitive. Wanaamini kwa sababu wana madaraka, basi wana ubinadamu kuwazidi wale wasio na madaraka. Kwa vile wanaamini kuwa wao ni binadamu zaidi, wanaona hawastahili kubishiwa, hawastahili kukosolewa, hawastahili kulaumiwa au hata kusemwa. Wawe wametenda mabaya au mazuri, wanaona wanastahili kuabudiwa, kusifiwa, kupongezwa na kuogopwa. Na haya yapo mpaka kwenye familia.
 
Wapuuzi nyie hao watendaji mnaowatisha wawatangaze washabadilishwa?
 
kusakwa tena
 
They rule out of fear they inflict in people not strength of their leadership role.

In this world there powerful and weak people, not in between, the powerful always rule the weak.

So chose your side.
 
Kwenye huu uchaguzi nilichogundua ni kuwa Chama kinachotaka kuwa mbadala wa CCM viongozi wake hawana hata uwezo wa kujaza fomu.
Tusiliangalie hili suala kwa mihemko ya kisiasa.

Chaguzi zimebeba dhima na mustakabali wa maisha ya waTanzania walio wengi.
Hatua za makusudi zinahitajika ili kurejesha muungano wetu kama Taifa.
 
Uko sahihi kabisa, nilitoa angalizo watakuja mataga, hutokosa mayai viza usoni.
 
kwa maana hiyo katiba na sheria za nchi zinaruhusu asiyekuwa mtumishi wa tume ya uchaguzi kutengua maamuzi yaliyo tolewa na tume ya uchaguzi? Ama uchaguzi huu tume ya uchaguzi haitumiki? Kutangaza ushindi wa aslimia ngapi kwa asiyekuwa mtumishi wa tume ya uchaguzi si ndio ilikuwa sababu ya kufutwa kwa uchaguzi wa zanzibar kwa mujibu wa taarifa?
 
Twendeni kwenye uchaguzi tuone kama mtapata hata mtaa mmoja. Tuko na nyinyi hamtoki safari hii hakuna kisingizio hata hao vilaza wasiojua kujaza fomu wameruhusiwa!
Sasa mmeshajua kama upinzani hawatapata mtaa mmoja. Kujitoa kwao kusiwashughulishe maana matokeo yatakua yale yale. Sana sana hapa muda na gharama za uchaguzi zitakua zimeokolewa...huoni faida kwenu??? Au mnaona aibu kupewa ushindi wa mezani??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hoja ya ni sheria ipi inawafanya CCm waporomoshe matus humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…