Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
NO.Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NO.Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
Hivi hofu ni nini kwa mazuri yote ayafanyayo jiwe?!! Hatuwezi toka kwasababu wasimamizi wote wa uchaguzi ni wenu, ni mjinga tu ndio anaweza kutumia mbinu ile ile na kutegemea matokeo tofauti!!! Mnataka kuwafanya wapinzani rubber stamps tu, ya mlicho isha kiandaaa!!! SHAME ON U!!Twendeni kwenye uchaguzi tuone kama mtapata hata mtaa mmoja. Tuko na nyinyi hamtoki safari hii hakuna kisingizio hata hao vilaza wasiojua kujaza fomu wameruhusiwa!
Kinachonishangaza tu ni kuwa hao wanaomlinda au kumtibia pale anapougua hayo matatizo yake wao hawayaoni? it seems like kwa watu wengi wenye nafasi our country is not their priorityHajakombolewa na elimu. He looks primitive, he acts primitively, he embraces primitivity. He takes the nation backward.
Tena kwa kebehi, kwamba sio msafi na alishindwa kusimamia idara zilizoko chini ya wizara yake.Alafu mwishoni atatoswa
Wao wanamtumikia kafiri...Kinachonishangaza tu kuwa hao wanaomlinda au kumtibia pale anapougua hayo matatizo yake wao hawayaoni? its seems kwa watu wengi wenye nafasi our country is not their priority
Lakini ni uwongo au ukweli? Kama nimenena uwongo, nipo tayari kufuta.Lol, supporters will say, you went too far, with your comment.
kusakwa tenaNimesikia kuna mtu amefura jumba jeupe hataki ata kula ; Anadai kwanini hao wapinzani na alishatoa amri wafutwe wote ?
Anasema yeye hapingwi na ngoja uchaguzi uishe kama Unajua ujajiandika kupiga kura utasakwa popote ulipo na utaona chamtemakuni.
Poleni waTanzania watu ambao hawakua tayari mkawasukumia kitu kigumu sasa anawatesa kwanini mlimsukumia.
They rule out of fear they inflict in people not strength of their leadership role.Lakini ni uwongo au ukweli? Kama nimenena uwongo, nipo tayari kufuta.
Ubinadamu hupimwa kwa ustaarabu. Na ustaarabu ni kujua kuwa kila aitwaje mwanadamu ana utu na haki za msingi kama zako. Ukikosa ustaarabu, na ukawa na nguvu, unaweza kuua, kuteka au kuwatesa watu wengine. Haya yaliyotendwa na CCM kwenye mchakato kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni matokeo ya primitivty. CCM wanaamini wao ni binadamu zaidi, wanaamini wao ni watanzania zaidi, wanaamini hawatakiwi kushindanishwa na yeyote. Wanaamini kila mtanzania anatakiwa atii lolote linalotoka kwa chama chao. Tunatakiwa kuwa watii kwa jamhuri siyo kwa chama au kwa watawala. Watawala na vyama vinaweza kupotoka lakini Jamhuri haiwezi kupotoka. Na yale yaliyo sahihi kwa Jamhuri yetu yameelekezwa na Katiba na Sheria mbalimbali.
Afrika, ukiondoa mataifa machache, viongozi wengi ni primitive. Wanaamini kwa sababu wana madaraka, basi wana ubinadamu kuwazidi wale wasio na madaraka. Kwa vile wanaamini kuwa wao ni binadamu zaidi, wanaona hawastahili kubishiwa, hawastahili kukosolewa, hawastahili kulaumiwa au hata kusemwa. Wawe wametenda mabaya au mazuri, wanaona wanastahili kuabudiwa, kusifiwa, kupongezwa na kuogopwa. Na haya yapo mpaka kwenye familia.
Tusiliangalie hili suala kwa mihemko ya kisiasa.Kwenye huu uchaguzi nilichogundua ni kuwa Chama kinachotaka kuwa mbadala wa CCM viongozi wake hawana hata uwezo wa kujaza fomu.
Uko sahihi kabisa, nilitoa angalizo watakuja mataga, hutokosa mayai viza usoni.Lakini ni uwongo au ukweli? Kama nimenena uwongo, nipo tayari kufuta.
Ubinadamu hupimwa kwa ustaarabu. Na ustaarabu ni kujua kuwa kila aitwaje mwanadamu ana utu na haki za msingi kama zako. Ukikosa ustaarabu, na ukawa na nguvu, unaweza kuua, kuteka au kuwatesa watu wengine. Haya yaliyotendwa na CCM kwenye mchakato kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni matokeo ya primitivity. CCM wanaamini wao ni binadamu zaidi, wanaamini wao ni watanzania zaidi, wanaamini hawatakiwi kushindanishwa na yeyote. Wanaamini kila mtanzania anatakiwa atii lolote linalotoka kwa chama chao. Tunatakiwa kuwa watii kwa jamhuri siyo kwa chama au kwa watawala. Watawala na vyama vinaweza kupotoka lakini Jamhuri haiwezi kupotoka. Na yale yaliyo sahihi kwa Jamhuri yetu yameelekezwa na Katiba na Sheria mbalimbali.
Afrika, ukiondoa mataifa machache, viongozi wengi ni primitive. Wanaamini kwa sababu wana madaraka, basi wana ubinadamu kuwazidi wale wasio na madaraka. Kwa vile wanaamini kuwa wao ni binadamu zaidi, wanaona hawastahili kubishiwa, hawastahili kukosolewa, hawastahili kulaumiwa au hata kusemwa. Wawe wametenda mabaya au mazuri, wanaona wanastahili kuabudiwa, kusifiwa, kupongezwa na kuogopwa. Na haya yapo mpaka kwenye familia.
Hata wakiteuliwa nafadi zote sawa pia, mbona wanateuwa hatulalamiki.Hizo nafasi zibaki kuwa ajira..watu waajiriwe basi kwisha mchezo
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo na amefuta maamuzi yote yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi Nchini kote ya kuwaengua wagombea wa vyama mbalimbali. Waziri Jafo ametoa uamuzi huu jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na wanahabari leo.
Chanzo: Ukurasa wa OR-Tamisemi Facebook
Hata hivyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa nchini Tanzania (Tamisemi), Selemani Jafo ametangaza wenyeviti wa vijiji 6,248, wa mitaa 1169 na vitongoji 37,505 wanaotokana na CCM wamepita bila kupingwa baada ya kutojitokeza kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani.
“Kwa upande wa vitongoji Chama cha Mapinduzi kimepita bila kupingwa katika vitongoji 37,505 kati ya vitongoji 64,384 sawa na asilimia 58,”
Amesema katika wajumbe wa kundi la wanawake jumla ya wajumbe 64,085 wamepita bila kupingwa na wajumbe kundi la mchanganyiko jumla ya wajumbe 75,560 wamepita bila kupingwa.
Sasa mmeshajua kama upinzani hawatapata mtaa mmoja. Kujitoa kwao kusiwashughulishe maana matokeo yatakua yale yale. Sana sana hapa muda na gharama za uchaguzi zitakua zimeokolewa...huoni faida kwenu??? Au mnaona aibu kupewa ushindi wa mezani??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Twendeni kwenye uchaguzi tuone kama mtapata hata mtaa mmoja. Tuko na nyinyi hamtoki safari hii hakuna kisingizio hata hao vilaza wasiojua kujaza fomu wameruhusiwa!