Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!
 
Mkuu usihangaishwe na chakubanga... washinde... wajishindishe... iwe iwavyo MAFUTA NA MAJI VITAJITENGA TU NI SUALA LA WAKATI...
 
Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!
Pumabvu wewe, apigwe ban ili iwaje? Mnaongea Ujinga hapa wa hata Mtoto wa Vidudu anawaona Wapumbavu pia.
Jaribu kuwaza kuwa hatuko Zama za Kijinga zile.
 
Slow slow kawa mchumia tumbo anatia aibu sana.
Amepwaya sana katika medani ya siasa ya vyama vingi.
Hakuwahi kutosha kokote zaidi ya ukasuku na ile airtime aliyokuwa akipewa... nini kilimtoa kwenye uDC? Je kwanini NGO yake ni dumavu na haioneshi matokeo chanya kwa jamii?
 
Wakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.

Jambo lenyewe ni hili, JAFO alikuwa akiongea kama kada wa CCM si kama msimamizi mkuu wa uchaguzi. maneno kama " wasiweke mpira kwapani, waje tuwapige, wasikimbie ulingoni waje tuwatandike" si maneno ya refarii nayetakiwa kuwa nutro hata kama ana timu yake. Piga picha Jaji Kaijage mwenyekiti wa NEC ndio anaongea hivi, tuombe asifike huko.

Maendeleo hayana vyama.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Naona vyama vya upinzani vikiwa vimeshikilia mpini wakati serikali imeshikilia makali

Polen sana ccm mlijifanya wahuni kumbe mbowe ndo mhuni zaid yenu

Msimamo wenu uendelee kuwa huo huo

Msikubali kujiingiza kwenye uchaguzi wa kijinga jinga namna hii


Usimtendee mwenzio mabaya

Shwain

LONDON BOY
 
Hao wote hawana tofauti vijana wa MATAGA. Wao ni bendera inayofuata upepo. Popote Jafo kwa niaba ya msukuma anapowapeleka nao utawakuta.
 
Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.

" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"

Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Daudi Mchambuzi
Refa anatakiwa kuwa muungwana na awe neutral hata kama ana upande. Ni maneno kama haya yanayoleta sintofahamu. Kwa hiyo lazima kieleweke kati ya nani na nani? Hati maendeleo hayana vyama-huu ndio unafiki fika wa Jiwe na watu wake. Mnawaengua wapinzani wenu bila sababu ya msingi halafu mnataka kuwalazimisha kushiriki. Wana uhuru wa kucheza au kuto kucheza..Mwambie Jafo upande wa pili nao wanasema kitaeleweka tu. LoL
 
Huenda waliliona hilo jambo ila wakachukulia kawaida! Katika zama hizi za Jiwe ni vigumu sana kutofautisha kati ya kiongozi wa ccm na serikali! Hata mtukufu mwenyewe kuna wakati hujui yupo kama mwenyekiti wa chama au rais wa nchi! Wacha watese, yana mwisho haya!
 
Nijambo la ajabu waziri wa Tamisemi idara yake kujichanganya hadi waziri anatoa tamko ,uchaguzi uendelee kwa wagombea kuendelea ,na mchakato wa uchaguzi

Hii ni ajabu ivi wasimamizi wa Mitihani wameisha sema baadhi ya wanafunzi wamekosa sifa za kufanya mitihani kwa vigezo husika au makosa ya hao wanafunzi

Sasa baadaye inagundulika kumbe ni fitina ya wasimamizi na kelele zimepigwa wale wanafunzi sasa warudi kufanya mitihani ,bila kujua wasimamizi wameondoa mood na ari ya kufanya mitihani hiyo

Nimuombe Jafo waswahili walisema ,akilinyingi huondoa maarifa ,jafo maarifa yametoka ,ukweli kuwaambia tena wagombea warudi tena kugombea ni kanakwamba umeisha jua kuwa ngoja waje ,tuwamalize kwa njia hii.

Jafo umetengeneza tatizo ,hill ni busara ujiuzulu ili mchakato uanze upya hapa imani haiko tena

Ukweli wapinzani kukubali kurudi wataonekana sio wajinga tu bali wapumbavu na waoga.

Jiuzuru Raisi ateue waziri mwingine aje aendeshe zoezi hili.
Jafo umeaibisha Taifa,umumuchonganisha ,Raisi na wananchi kuwa yy hapendi wananchi wake.hii ni hatari

Kumbe ni hii Incapacity ya Jafo ameshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…