barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hakuna kukimbianza, mpaka kieleweke.Wananchi hatutakiii.Wauaji ccm endeleeni kula mpaka mpasuke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kukimbianza, mpaka kieleweke.Wananchi hatutakiii.Wauaji ccm endeleeni kula mpaka mpasuke
Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!You motherfuckers are so insane!
Yaani mfunge ofisi watu wasirejeshe fomu
Waliorejesha muwafute
Halafu mnataka tuje tubariki huo “uchafuzi” wenu?
Halafu mnaongea kijuu juu tu eti “Chadema msiweke mpira kwapani”!
Lugha za kimalaya sana hizi!
Halafu mnataka tuwachukulie serious kwkaweli?
Mnadhani kuna mitoto hapa?
Wajinga kabisa nyie!
Haji mtu!
Na mkitufata ni mezani,masharti kama 100 hivi na yatekelezwe yote,otherwise endeleeni na kujipitisha!
Mamaaaeeee zenu nyote!
Chadema huyo hawezi pigwa ban. Cha kushangaza mimi niliyesema hivi ndio naweza pewa ban.Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!
Mkuu usihangaishwe na chakubanga... washinde... wajishindishe... iwe iwavyo MAFUTA NA MAJI VITAJITENGA TU NI SUALA LA WAKATI...Hawa raia natamani niwasikie kauli zao tena maana naona walitoka kumfurabisha mtu fulani kuwa wako nae katika zile kauli nikuteuwe na umtangaze mpinzani mshindi.
Sasa kauli ya jafo najua kashikizwa hata sura yake inaonyesha ivyo na walishatangaza wana ccm washapita bila kupingwa inamaana washindi wametenguliwa au wameambiwa watulie waje kuhalilishwa.
Polepole yuko wapi na anakauli gani na wanasheria wake 2,000
Pumabvu wewe, apigwe ban ili iwaje? Mnaongea Ujinga hapa wa hata Mtoto wa Vidudu anawaona Wapumbavu pia.Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!
Hakuwahi kutosha kokote zaidi ya ukasuku na ile airtime aliyokuwa akipewa... nini kilimtoa kwenye uDC? Je kwanini NGO yake ni dumavu na haioneshi matokeo chanya kwa jamii?Slow slow kawa mchumia tumbo anatia aibu sana.
Amepwaya sana katika medani ya siasa ya vyama vingi.
Acha mihemuko! Rudini uwanjani, acheni visingizio.Pumabvu wewe, apigwe ban ili iwaje? Mnaongea Ujinga hapa wa hata Mtoto wa Vidudu anawaona Wapumbavu pia.
Jaribu kuwaza kuwa hatuko Zama za Kijinga zile.
Hao wote hawana tofauti vijana wa MATAGA. Wao ni bendera inayofuata upepo. Popote Jafo kwa niaba ya msukuma anapowapeleka nao utawakuta.Hawa raia natamani niwasikie kauli zao tena maana naona walitoka kumfurabisha mtu fulani kuwa wako nae katika zile kauli nikuteuwe na umtangaze mpinzani mshindi.
Sasa kauli ya jafo najua kashikizwa hata sura yake inaonyesha ivyo na walishatangaza wana ccm washapita bila kupingwa inamaana washindi wametenguliwa au wameambiwa watulie waje kuhalilishwa.
Polepole yuko wapi na anakauli gani na wanasheria wake 2,000
Mbona Uwanja wenu na Kila kitu chenu, tunarudi kufanyaje sasa? Nchi yenu hii, ila Mtavuna mnachokipanda.Acha mihemuko! Rudini uwanjani, acheni visingizio.
Humu kuna member hutukana wapendavyo!Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!
Refa anatakiwa kuwa muungwana na awe neutral hata kama ana upande. Ni maneno kama haya yanayoleta sintofahamu. Kwa hiyo lazima kieleweke kati ya nani na nani? Hati maendeleo hayana vyama-huu ndio unafiki fika wa Jiwe na watu wake. Mnawaengua wapinzani wenu bila sababu ya msingi halafu mnataka kuwalazimisha kushiriki. Wana uhuru wa kucheza au kuto kucheza..Mwambie Jafo upande wa pili nao wanasema kitaeleweka tu. LoLNimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.
" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"
Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi
Huenda waliliona hilo jambo ila wakachukulia kawaida! Katika zama hizi za Jiwe ni vigumu sana kutofautisha kati ya kiongozi wa ccm na serikali! Hata mtukufu mwenyewe kuna wakati hujui yupo kama mwenyekiti wa chama au rais wa nchi! Wacha watese, yana mwisho haya!Wakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.
Jambo lenyewe ni hili, JAFO alikuwa akiongea kama kada wa CCM si kama msimamizi mkuu wa uchaguzi. maneno kama " wasiweke mpira kwapani, waje tuwapige, wasikimbie ulingoni waje tuwatandike" si maneno ya refarii nayetakiwa kuwa nutro hata kama ana timu yake. Piga picha Jaji Kaijage mwenyekiti wa NEC ndio anaongea hivi, tuombe asifike huko.
Maendeleo hayana vyama.