Hapa amezusha kuhusu katiba au kuhusu nini mkuu? Katiba haisemi hivyo alivyonukuu au kajitungia hivyo vifungu mkuuHuu uwongo wa Zitto tumeuzoea na tushampuuza kazi yake ni kuzusha
anakanyaga nini na anaenda wapi ?Mkuu alishasema hayo maswala ya sheria na kanuni yanawacheleweshia wananchi wanyonge maendeleo.
Sasa hivi ni mwendo wa kanyaga twende
Subiri kidogo tu utajua ilipoishiaIvi ile ya "rais hana mamlaka ya kumtengua CAG" iliishia wapi?
Endeleeni tuu kumsikiliza huyo jamaa, mwenzenu anawachuza.
Tuonyeshe ukweli upo wapi?Huu uwongo wa Zitto tumeuzoea na tushampuuza kazi yake ni kuzusha
Haya ndio unayaweza tuu, mengine yamekuzidi kimo!Huu uwongo wa Zitto tumeuzoea na tushampuuza kazi yake ni kuzusha
Kama ilivyo aibu kwa mwanamke kwa Mwanaume Kumuogopa Mwaume mwenzio na wakati Wewe una Silaha zote na Mwanaume Mwenzio hana Silaha.Mchungaji 'Mgogo' alihubiri siku moja akisema: Ni aibu kwa mwanaume kuzira!
Leo tumefanya uchaguzi wa Jumuiya yetu ya Mt Maurus.....hakukuwa na figisu wala niniJafo kashindwa kutaja sheria au kanuni aliyoitumia kiwarudisha 96% ya wapinzani walio enguliwa kurudishwa bali anatoa maneno ya kufikirika.
Hapa ndio tujue nchi haifati sheria wala kanuni ni matakwa ya mtu atakavyoamka
View attachment 1260746
Kosa limejulikana, vyama vingi vya upinzani kwa makusudi vimeshindwa kuwapatia elimu na kanuni zote za uchaguzi kwa wagombea wao wa ngazi za chini. Muda wa kurekebisha ni mfupi, dawa ni kuwaita wote washiriki na kuwapatia elimu wakiwa kazini ili haya ya vyama kuzuia kanuni Kwa makusudi yasijirudie.
Soma vizuri hiyo barua! Hata kusoma hujui! Sasa kujaza fomu ya kugombea uongozi si itakuwa mtihani mgumu sana!!?