Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Mkuu alishasema hayo maswala ya sheria na kanuni yanawacheleweshia wananchi wanyonge maendeleo.
Sasa hivi ni mwendo wa kanyaga twende
 
So kama katiba haimtambui si muende mahakamani. Zitto acheni kusoma vifungu nusu nusu halafu mkajiona nyie ndiye wajuaji kuliko wote. By the way mtu kama wewe huwezi kupewa madaraka hata siku moja labda uende kwa wadhani wako wakukupe madaraka huko kwao. Shukuru hata huo ubunge ulionao sasa hivi otherwise ungeshakuwa umesahaulika katika ramani ya siasa. 2020 utaambulia patupu, no one atakupa kura mtu kama wewe usiyetambua thamani ya nchi yako.
 
Huu uwongo wa Zitto tumeuzoea na tushampuuza kazi yake ni kuzusha
Haya ndio unayaweza tuu, mengine yamekuzidi kimo!
FB_IMG_1493651386663.jpeg
 
Mchungaji 'Mgogo' alihubiri siku moja akisema: Ni aibu kwa mwanaume kuzira!
Kama ilivyo aibu kwa mwanamke kwa Mwanaume Kumuogopa Mwaume mwenzio na wakati Wewe una Silaha zote na Mwanaume Mwenzio hana Silaha.
 
Jafo kashindwa kutaja sheria au kanuni aliyoitumia kiwarudisha 96% ya wapinzani walio enguliwa kurudishwa bali anatoa maneno ya kufikirika.

Hapa ndio tujue nchi haifati sheria wala kanuni ni matakwa ya mtu atakavyoamka
IMG-20191111-WA0006.jpg
 
Jafo kashindwa kutaja sheria au kanuni aliyoitumia kiwarudisha 96% ya wapinzani walio enguliwa kurudishwa bali anatoa maneno ya kufikirika.

Hapa ndio tujue nchi haifati sheria wala kanuni ni matakwa ya mtu atakavyoamka
View attachment 1260746
Leo tumefanya uchaguzi wa Jumuiya yetu ya Mt Maurus.....hakukuwa na figisu wala nini

Kumbe uchaguzi bila figisu unawezekana!
 
Wewe ndo hujamuelewa Jafo, Kiufupi ni kwamba kwa mujibu wa hilo tangazo, Jafo kafanya U-Turn tena, kama jina lako halijapitishwa kugombea hugombei. Soma namba 1 moja vizuri hapo kwenye hiyo taarifa.

Maana yake ni kwamba waliokatwa wameshakatwa tayari hawaruhusiwi kugombea

Soma vizuri
 
Kosa limejulikana, vyama vingi vya upinzani kwa makusudi vimeshindwa kuwapatia elimu na kanuni zote za uchaguzi kwa wagombea wao wa ngazi za chini. Muda wa kurekebisha ni mfupi, dawa ni kuwaita wote wenyesifa washiriki na kuwapatia elimu wakiwa kazini ili haya ya vyama kuzuia kanuni Kwa makusudi yasijirudie.
 
Kosa limejulikana, vyama vingi vya upinzani kwa makusudi vimeshindwa kuwapatia elimu na kanuni zote za uchaguzi kwa wagombea wao wa ngazi za chini. Muda wa kurekebisha ni mfupi, dawa ni kuwaita wote washiriki na kuwapatia elimu wakiwa kazini ili haya ya vyama kuzuia kanuni Kwa makusudi yasijirudie.

Jafo kageuka tena,
Kwa mujibu wa tamko hili maana yake ni kwamba kaitengua kauli yake ya jana.
Hilo Tangazo linasema walioteuliwa kugombea ndo watagombea maana yake ni kwamba wagombea wote wa CHADEMA na ACT waliokatwa hawaruhusiwi kugombea
 
Mgombea anapaswa kudhaminiwa na chama chake ngazi ya tawi...sasa ndugu zetu hawa hawana matawi wala mihuri
 
Jafo amewakomesha waficha mpira kwapani watajijua ,

Kaza Jafo kaza wapigwe ndani nje

State agent
 
Back
Top Bottom