Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ukute huyu mtoa mada anajiandaa kugombea ubunge kupitia chadema 2020Soma vizuri hiyo barua! Hata kusoma hujui! Sasa kujaza fomu ya kugombea uongozi si itakuwa mtihani mgumu sana!!?
Hata mimi nimeelewa hivyo yaani hakuna suluhu au kwa kifupi kapingilia msumari au kwa lugha nyepesi kabariki walioenguliwa wasishiriki kabisa uchaguziWewe ndo hujamuelewa Jafo, Kiufupi ni kwamba kwa mujibu wa hilo tangazo, Jafo kafanya U-Turn tena, kama jina lako halijapitishwa kugombea hugombei. Soma namba 1 moja vizuri hapo kwenye hiyo taarifa.
Maana yake ni kwamba waliokatwa wameshakatwa tayari hawaruhusiwi kugombea
Soma vizuri
Huyu bwana haeleweki. Tangazo lake la jana la kusema kila aliyegombea ataruhusiwa kusimama kwenye uchaguzi amelikana tena. Hawa watu hawaaminiki katika lolote.Jafo kashindwa kutaja sheria au kanuni aliyoitumia kiwarudisha 96% ya wapinzani walio enguliwa kurudishwa bali anatoa maneno ya kufikirika.
Hapa ndio tujue nchi haifati sheria wala kanuni ni matakwa ya mtu atakavyoamka
View attachment 1260746
Si ukae kimya we nyau?Wapinzani Ndio wanajitoa ufahamu ili kukimbia Uchaguzi
Hata wana ccm tunaona aibu kwa rafu zinafanywa na serikali yetu hasa wizara hii iliyopo chini ya ofisi ya Rais. UCHAGUZI UMEHARIBIWA NA WATENDAJI WA SERIKALI, NA NADHANI HUENDA YALIKUWA MAAGIZO TOKA JUU.Wapinzani Ndio wanajitoa ufahamu ili kukimbia Uchaguzi
Jafo anahitaji kusaidiwa kwa sasa akili siyo yake tena.Jana alisema amefuta maamuzi yote ya wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi leo amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuendelea na utekelezaji kwakifupi jafo ameshachanganyikiwaWewe ndo hujamuelewa Jafo, Kiufupi ni kwamba kwa mujibu wa hilo tangazo, Jafo kafanya U-Turn tena, kama jina lako halijapitishwa kugombea hugombei. Soma namba 1 moja vizuri hapo kwenye hiyo taarifa.
Maana yake ni kwamba waliokatwa wameshakatwa tayari hawaruhusiwi kugombea
Soma vizuri
Jafo anahitaji kusaidiwa kwa sasa akili siyo yake tena.Jana alisema amefuta maamuzi yote ya wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi leo amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuendelea na utekelezaji kwakifupi jafo ameshachanganyikiwa