Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Hatukumuelewa tu
Alisema waliochukua na kurudisha fomu kisha wakakatwa na kukata rufaa watarejeshwa kwenye mchuano

Hakuna anaerudi kwenye uchaguzi wowote!

Vyama vyote vimejitoa!

Wekeni makapi yenu,then pitishaneni!

Hakuna haja ya nyie kupiga domo sana...

Domo lote hili ni y’all motherfuckers are scared shitlessly!
 
Yeye kama waziri wa TAMISEMI ana nia njema na anajitahidi kutuonyesha nia yake njema. Tatizo ni yule Waziri wa TAMISEMI ambaye alitoa maagizo mengine kabisa.

Jafo anajitahidi kutuonyesha hahusiki na madhambi haya
 
Yeye kama waziri wa TAMISEMI ana nia njema na anajitahidi kutuonyesha nia yake njema. Tatizo ni yule Waziri wa TAMISEMI ambaye alitoa maagizo mengine kabisa.

Jafo anajitahidi kutuonyesha hahusiki na madhambi haya
Mhusika anajulikana mbona Jafo ni spika tu.
 
Nosense, always a toothless dog barking

Vyama 12 vinashiriki Uchaguzi,so unaweza ukaona namba ni kubwa mno

Democratically it is okey,waliojitoa wanasababu zao mostly watu wanasema vinaogopwa kushindwa

Kasi ya Mr.President John Magufuli imewafanya waishiwe hoja ni vile tu hawawezi ku confess mbele ya wafuasi wao

Wellcome to the next door tujenge Nchi

Achana na mambo ya kupinga,wacheni kutumika na Mabeberu nyie wapuuzi
Hakuna anaerudi kwenye uchaguzi wowote!

Vyama vyote vimejitoa!

Wekeni makapi yenu,then pitishaneni!

Hakuna haja ya nyie kupiga domo sana...

Domo lote hili ni y’all motherfuckers are scared shitlessly!
 
 
Mpumbavu wa PhD ya korosho. Hivyo 12 vilijaza lini fomu ya kugombea kwenye uchaguzi? Endeleeni kuota mchana mwisho wake mtaloanisha nguo zenu na mikojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…