Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Hahhaa eti waliokubambikia kesi ndio hao hao waamuzi mahakamani
 
Hakuna kurudi hadi wafute uchaguzi wote kila kitu kianze upya.
kwahyo wasimamizi watakua hawahawa waliochafua?Ningeshauri vyama vilivyojitoa visirudi kushiriki uchaguzi/wasidhamini mgombea yoyote
 
Jafo, why all this trouble? Si muache mtawale nyinyi peke yenu? Nilisema mmerahisishiwa kuua upinzani, tabu yote unayopata ya nini? Unahangaika nini? Kwani upinzani watawafanya nini? Majeshi mnayo, pesa ni zenu, why all these trouble?
 
Chadema na ACT mnatumika na mabeberu.
 
Kile kikao cha mweshimiwa sana na watendaji wa kata matokeo yake ndoo hayo
 
CcM jifunzeni kuchuchumaaa.. mtaabika?

Jafo kama una akili futa zoezi zima.. uchaguzi pelek mwakani?

Wananchi sio wajinga wala chadema sio watoto kama onavyo dhani na wana ccm wenzio.

Mode tuachie uzi wetu huu .. usichangannye na ule wa TV.

 
Sweet Miss Chadema and sweet Miss ACT wazalendo I love you so.much my two sweet babies please shirikini uchaguzi please nyie ni warembo nawapenda.Msiniangushe wapenzi .Msiposhiriki nitajisikia vibaya wapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…