Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Tukutane kwenye kampeni sasa
Mkitoka hapo Hakuna kisingizio hata mkishindwa
Mkitoka hapo Hakuna kisingizio hata mkishindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukutane kwenye kampeni sasa
Mkitoka hapo Hakuna kisingizio hata mkishindwa
Atakua na akili kama akisema zoezi la uchukuaji form lirudiwe na uchaguzi upelekwe mbele.Ilikua ni aibu kwa ma CCM.
Basi wasivyo na akili wataanza kumsifu Jafo wakati alishindwa kukemea michezo michafu ya watendaji tokea awali.
Hahaaaa Na bado wanajua kabisa nchi nzima Magufuli hatumpendi ispokuwa wachumia tumbo wachache, aache tu aambulie aibu.Jafo na ccm yako jifunzeni kuvhuchumaaa.. mtaabika sana.. chadema sio watoto wadogo, Hii nchi ni ya wananchi na wananchi wanajua haki zao.. popelesssssaa power!!!!!! .View attachment 1259535
Kwani vipi si mmempita bila kuoingwa?Chadema toeni tamko Sasa kuwa mtashiriki
Tukutane kwenye kampeni sasa
Mkitoka hapo Hakuna kisingizio hata mkishindwa
Duh! Nyie binadamu mno roho ngumu!Chadema toeni tamko Sasa kuwa mtashiriki
Aibu tupu, hahhaaaaa ccm ni debe shinda.Na bado... Power peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... People powerrrrrrrrrrrr......
Huwezi kuamini kauli ya Idd Amin! Mtu akisha kuwa siyo mwaminifu, basi his honour is shuttered irrevocably!Chadema toeni tamko Sasa kuwa mtashiriki
Sema mimi" usihamishe upumbavu wako kwa watu wengine bwege wewe