Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Jafo na ccm yako jifunzeni kuvhuchumaaa.. mtaabika sana.. chadema sio watoto wadogo, Hii nchi ni ya wananchi na wananchi wanajua haki zao.. popelesssssaa power!!!!!! .View attachment 1259535
Hahaaaa Na bado wanajua kabisa nchi nzima Magufuli hatumpendi ispokuwa wachumia tumbo wachache, aache tu aambulie aibu.

Vitendo vya magufuli vitaendelea kumtia aibu hadi atakapoamua kuachana na magumashi yake. Upinzani tanzania unaunga mkono na zaidi ya watu wazima 20M kati ya 30M ukichana na watoto 15M
 
Sasa hii nini? Utawala wa “sheria” umeenda wapi? Hili sio jambo la kusherehekea. Haiwezekani watendaji wafanye madudu ya kipumbavu (wengine kwa kufuata maelekezo...) harafu eti boss wao anakuja kutengua. How come?

Sasa atawachukulia hatua gani? Will there be a free and fair election hapa? Waliofanya madudu ndo hao hao watakaosimamia zoezi tena
 
Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.

Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?

Maendeleo hayana vyama!
 
Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates
 
Wapinzani waliona watashindwa vibaya ikabidi wakimbie

Ila janja yao imestukiwa,hakuna kujitoa
 
Back
Top Bottom