impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Wapinzani msikubali ya Jafo huu ni mtego wa panya kula punje ya karanga maana hawa wasimamizi walio wakata ndio hao hao wasimamizi wa kutangaza mshindi.
Labda kuwe na maridhiano ya tume huru bila hivyo acha Serikali icheze kivyake.
Hongera wapinzani huu ni ushindi wa awali kwenu kazeni buti.
Labda kuwe na maridhiano ya tume huru bila hivyo acha Serikali icheze kivyake.
Hongera wapinzani huu ni ushindi wa awali kwenu kazeni buti.