Wagombee, wasigombee uchaguzi upo palepale na CCM itashinda kwa kishindo!
HatutakiChadema toeni tamko Sasa kuwa mtashiriki
kama wasimamizi wa uchaguzi waliwaengua wapinzani na waziri kapindua maamuzi kama kusukuma mlevi.... jee, waziri huyo huyo hawezi kupindua matokeo dhidi ya wapinzani watakapotangazwa na wasimamizi wale wale?Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!
NO. HAWA NI WATU MAKINI. FUNGUA MACHO dada. soon tutapata suruhisho kupitia UTENDAJI WA HUYU BWANA MKUBWA WA IKULU ALIYEWEKWA NA MUNGU ILI MPANGO WAKE UTIMIE. VIONGOZI WA DINI HAWANA UBAVU WA KUPINGA MPANGO WA MUNGU.Viongozi wa dini ni wanafiki..
Sisi wananchi hatutapiga kura kama umechukia kunywa sumu ufeSema mimi" usihamishe upumbavu wako kwa watu wengine bwege wewe
Maji ya shingoNasikia kasema kila aliechukua form na akairudisha ataruhusiwa kugombea na hivyo hakuna alieenguliwa. Kama ni kweli hivi ni vituko aiseee.
Atakua ni mgombea wa kulipwa kama ilivyo kwenye mpira kuna mchezaji wa kulipwaEti anasema kama jina lilikatwa alafu ukaenda kushtaki eti jibu likitoka kuwa umeshinda basi jina lako litakuwa kwenye form ya wagombea..
Sasa najiuliza mtu ameshakatwa alafu chama chake kishajivua alafu jina mkaliweke kwenye form ya wagombea ina maana huyo mgombea atakuwa binafsi au??
Wanachobakisha ni kwenda kupokea ndegeViongozi wa dini ni wanafiki..
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika

Mmekwisha achiwa mshinde kwa kishindo, sasa mbona mnageuka kula matapishi yenu? Kama unafikiri kuna mtu anaamini uchaguzi utakuwa huru chini ya wasimamizi wale wale waliofurunda basi huyo mtu akapimwe akili yake. Mimi Masiya simo kabisa.Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Kila siku huwa nawaza kuwa ipo siku watawala watajichanganya na tutayashuudia yanayotokea nchi jirani, nao walianza hivihivi, yaani kukiuka miiko ya uongozi sababubza uroho tuu.Kwa Mara Ya Kwanza Naona Serikali inatetereka Baada ya Vyama Pinzani kufanya Maamuzi! Safi sanaa Sasa Tusimamieee Wagombea wote kujitoa! Naipenda CCM ila kwa Walichofanya kwenye Huu uchaguzi hapana
Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!
Cha kushangaza CCM watakuja tena na kumsifia Jafo na kuiponda CHADEMA! Hawa jamaa wana akili za kwendea chooni tu!
Wasifanye huo ujinga maana walio wakata ndio hao hao wasimamizi wa kutangaza mshindi.Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!