Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Tuna omba na wale waliofunga ofisi warudi ofisini.
Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.

Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?

Maendeleo hayana vyama!
 
Sweet Miss Chadema and sweet Miss ACT wazalendo I love you so.much my two sweet babies please shirikini uchaguzi please nyie ni warembo nawapenda.Msiniangushe wapenzi .Msiposhiriki nitajisikia vibaya wapenzi.

Unajichekesha bure na kujifanya kuleta lugha za kejeli. Hao vyama vya upinzani wasikubali kushiriki na wakikubali kushiriki huo ushenzi imekula kwao. Tunahitaji tume huru ya uchaguzi sio huo uhuni wa kitoto.
 
Vpi kuhusu kupita bila kupingwa kwetu hai inzi mnavioja
 
Walio waengua ndiyo wafanya maamuzi, wakirudi ulingoni wasilalamikie rafuu,
 
Dogo wacha ujinga, itabidi uchaguzi uhahirishwe wadau waaanze upya. mmeharibu kwa sababu ya papara zenu. Mkiwarudisha wagombea bila kujaza fomu upya ni tatizo lingine.

Hakuna atakayeshiriki uchaguzi ambao unasimiwa kwa ulaghai, suluhu ni kukaa meza moja na wapinzani ili kuondoa hizo kasoro
 
Wale walioshindwa kurejesha fomu kwa kile kinacho amainika walijificha wao hatma yao ikoje? Ila ushauri wangu wapinzani msikubali tuone kama kutakua na uchaguzi wa upande mmoja....
 
Uchaguzi uhahirishwe kanuni Itungwe upya kwa pamoja na wadau
 
Viongozi wa dini ni wanafiki..

Tena hao viongozi wa dini sio wa kuwasikiliza kabisa, maana mambo ya dhuluma za wazi zinafanyika wako kimya. Nadhani ni vyema vyama vyote vilivyosusia vijitoe kabisa kwenye chaguzi zote mpaka tuwe na tume huru ya uchaguzi. Huu uhuni umekuwa wazi kabisa, na kama sio pressure ya mitandao huu uhuni ungeendelea. Hatuwezi kuendelea kufanya chaguzi ambazo box la kura haliheshimiwi. Nadhani hapa hapa ndio sehemu sahihi ya kudai katiba mpya itakayoleta tume huru ya uchaguzi.
 
Wewe ni mwehu kabisa
 
Katika watu jimga basi unambari.one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…