Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Ndiyo Uwaulize CCM wenzako??
 
Kuna watu wako tayari kutoa roho ya mtu kwa sababu ya umwekiti wa mtaa na kuna watu hawako tayari kupoteza roho kwa ajili ya umwenyekiti wa umoja wa mataifa achiliambali umwenyekiti wa mtaa,
 
Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
 
Sasa umeandika mavi gani aise
 
Madhara ya watoto wa bahati mbaya ndio akili kama hizi

Madhara ya kuzaliwa na mzazi aliyebakwa ndio akili kama hizi
 
Mimi ningeona kafanya jambo la maana kama angefutaka kazi watendaji wote kwasababu kama amekiri watendaji wamefanya makosa kukata watu vipi awatafanya makosa kutangaza watu
 
Mkuu laana kitu kibaya Sana.Hii inchi inatia hasira Sana. We acha tu
 
Kwahiyo yale makosa yame futika ya ujazaji fomu?
 
Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
Lazima maridhiano yawepo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…