Hii ndiyo tanzania, nchi ambayo inasadikiwa kuwa ilikuwa kitovu cha demokrasia afrika. Sasa ni nchi ambayo pia inadhaniwa kuwa demokrasia katika nchii hii umekufa
Na sababu kuu ni kuwa chama tawala CCM ambacho zamani kilijinasibu kuwa, kina mbinu 1000 za kushida uchaguzi. Sasa kimebanwa kiasi kuwa kinaitumia serikali yake kulazimisha mambo. Na bahati mbaya hata mawaziri nao wamekoswa mbinu. Wamebaki kutamka kile wao wanadhani ni jawabu kumbe si jawabu mbali ni jibu. na wamekoswa hata aibu leo wanalopoka hili kesho lile. NILIMSIKIA JOFO ANADAI KUWA, WAGOMBEA WA UPINZANI WAO NDIO WALIKOSEA KUJAZA FOMU
. NA KANUNI ZIMEWAONDOA MTU ALIYE JAZA FOMU VIBAYA. SWALI ANAWARUDISHA KWA KANUNI HIPI, VIPI KAMA AMEWEZA KUWARUDISHA KUPITIA MAMLAKA ALIYO PEWA VIPI AWEZI PIA KUAMURU KUWATANGAZA CCM KUWA NDIYO WASHINDI. Vyama vya upinzani kwa umoja wenu, uchaguzi huu uwafundishe kudai tume huru
Mkiingia kichwa kichwa mkakubali kushiriki uchaguzi huu, hakika yatawakuta na kamwe msifikirie kuwa wagombea wenu wakishinda watatangazwa. KUMBUKA WAHENGA WALISEMA, AKUMULIKAYE USIKU, MCHANA ATAKUCHOMA.