Inasikitisha sana.
 
Hivi aisee una umri gani...kiasi kwamba hujui kuwa amani ya kwanza huwa inaondolewa na kuminya haki za watu....yaan mpaka sasa kama unaamini chama cha upinzani ndo kitaleta vurugu katka hii nchi basi umelala usingizi mzito...amka
hiyo haki ya kuporomosha matusi nonsense kwa wengine na kuchochea vurugu, chuki na fujo, nadhani Tanzania haipo.

Mkafanya hiyo nonsense huko kwa waliowatumwa na itapendeza zaidi gentleman πŸ’
 
Kwaiyo tone tone ndio kwishaaaa

Dah kipindi cha Mavuno ichi

Mimi bado nasubili hesabu ya pesa kwenye FUSO pale Tunduma??
 
Aione kwa hasira Erythrocyte
 
Jibu swali ndugu yangu, hayo mamlaka ya kuzuia haki zilizomo kwenye katiba , nani kampa na au kayatoa wapi? Nchi imekuwa ya matamko sana hii, creating chaos zisizo na msingi... watu wakiingia msituni , wapenda amani na haki tutakimbilia wapi?
 
hiyo haki ya kuporomosha matusi nonsense kwa wengine na kuchochea vurugu, chuki na fujo, nadhani Tanzania haipo.

Mkafanya hiyo nonsense huko kwa waliowatumwa na itapendeza zaidi gentleman πŸ’

kufanya mikusanyiko uko Ulaya
Wamezuiwa pia !!!

Uko sindio Wanaposikilizwa na kupewa mayai ya kula kufutwa machozi πŸ‘ˆ
 


Na jukwaa la siasa hapa jf lifungwe,
 
Hahahaha. CCM wameomba poo, Hivi nyie CCM bila kukingiwa kifua na Serikali pamoja na Polisi wenu wa CCM hamuwezi kusimama jukwaani na kujibu hoja za CHADEMA.

Huu moto msifikiri utazimika kwa style hiyo mnayoitaka, hili gari ndio limeshawaka hivyo mpaka 2030
 
Yes,
hayo ni maoni yako huru gentleman.
well done kutumia haki yako kutoa maoni yako πŸ’

Kabisa hata mikutano ya waziri mkuu nayo ifutwe, hakuna mtu kuongea siasa wote tukae kimya

Niliwahi kushauri kuwa mfumo wa vyama vingi ufutwe,

Ccm hawawezi siasa za vyama vingi hawana hoja, hawana watu wa kujibu hoja

Mara mia gentleman wangekupa uenezi atleast unajua kuwasilisha hoja zikaeleweka
 
Erythrocyte yupo hoiiiiiiii kwasasa hajui kesho itakuwaje tone tone mzee wa FUSO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…