ok.🐒Kabisa hata mikutano ya waziri mkuu nayo ifutwe, hakuna mtu kuongea siasa wote tukae kimya
Niliwahi kushauri kuwa mfumo wa vyama vingi ufutwe,
Ccm hawawezi siasa za vyama vingi hawana hoja, hawana watu wa kujibu hoja
Mara mia gentleman wangekupa uenezi atleast unajua kuwasilisha hoja zikaeleweka
Yes,Jibu swali ndugu yangu, hayo mamlaka ya kuzuia haki zilizomo kwenye katiba , nani kampa na au kayatoa wapi? Nchi imekuwa ya matamko sana hii, creating chaos zisizo na msingi... watu wakiingia msituni , wapenda amani na haki tutakimbilia wapi?
We Mdogoe haya mambo kuyafuatilia bado mdogo nakushauri endelea kuchezea kisimi cha mama yako tu..CHADEMA wamepigwa ya chembe
NGUMI MOJA TU CHALIIII
CHEZEA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mahakamani - kuomba ruhusa ya kuwasilisha maombi ya kupinga kauli ya waziri (uamuzi unatakiwa utoke ndani ya siku 14 toka tarehe ya kuwasilisha ombi la ruhusa)Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya kubishana na CHADEMA mtaangukia pua lkn walibisha.
Waziri wa Mambo ya ndani, akiwa bungeni amesema
''Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea, nitatumia fursa hii pia, Mheshimiwa Spika, kwa sababu tumekuwa tukisikia majibizano ya hapa na pale, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ni custodian wa peace, order, and tranquility, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo tumepewa instrument na dhamana ya kusimamia amani, ulinzi na usalama, na kwa sababu chochezi wa mambo haya umeonekana zaidi kwenye maeneo ya kisiasa.
Ameongeza, kupitia Bunge lako tukufu, namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara katika kipindi hiki kwa chama chochote, iwe Chama cha Mapinduzi, iwe chama chochote kile kwa kipindi hiki.
Amemalizia kwa kushauri 'Ni vizuri turudi katika kuwaruhusu wananchi wajenge uchumi wa nchi yao. Ni katika kipindi ambacho tunahitaji kufanya kazi kwa ajili ya kuhakikisha kila Mtanzania, wafanyabiashara, wawekezaji, wanafanya kazi yao kwa amani na utulivu. Nafanya hivi, Mheshimiwa Spika, kwa sababu katika mazingira haya, tutakapokuwa tunawatafuta wahalifu, ni ngumu kuchambua wahalifu kwenye mkusanyiko ya watu wengi."
Pia soma
Taja kipengere cha katiba au sheria kinacho mpa malaka hayo...mimi siko huko kwenye matukio... nipo hapa kijiji cha Majimoto, wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, jilani kabisa na Mesagha, kwenye migodi ya dhahabu unayozungumzia? Mwigulu Nchemba naye anayataJa maneno hayo hayo yanayo tajwa na wapinzani wa serikali yake...sasa kosa ni nini? Acheni kurusha mawe wakati munaishi kwenye nyumba za vioo...Yes,
yapo na ana wajibu huo.
na ikiwa vinginevyo,
si muendelee na mikutano yenu ya kuporomosha matusi kuliko kumbwelambwela jukwaani na kutafuta public sympathy?🐒
Jinga lingine hili hapa 👎CHADEMA wamepigwa ya chembe
NGUMI MOJA TU CHALIIII
CHEZEA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Gentleman,Taja kipengere cha katiba au sheria kinacho mpa malaka hayo...mimi siko huko kwenye matukio... nipo hapa kijiji cha Majimoto, wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, jilani kabisa na Mesagha, kwenye migodi ya dhahabu na tunamsubiria Mwigulu nchemba aje wiki kesho wilani kwetu... kama ni matusi, yatake, ni matus9 gani hayo unayozungumzia? Mwigulu nche,ba naye anayatakja maneno hayo hayp yanayo tajwa na wapinzani wa serikali yake..sasa kosa ni nini? Acheni kurusha mawe wakati munaishi kwenye nyumba za vioo...
Kasome sheria ya vyama vya siasa kwanzaGentleman,
ikiwa unadhani jambo hili haliko kisheria, kulikoni uufyate mkia? si uendelee na mikutano yako ya uchochezi?
Au uje na katiba kwenye hiyo mikutano ya kulazimisha, polisi watakuelekeza ni wapi sheria ipo kwa virungu.
In fact wanaruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa,
ni wale tu waliochaguliwa na wapiga kura na wenye dhamana za wananchi kama vile wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa.
Madiwani, wabunge na watendaji wote wa umma wa waTanzania. Full stop.🐒
Gentleman,Kasome sheria ya vyama vya siasa kwanza