CCM wame "pre-empty" kishindo cha wakoma, "back to back" ya CDM ya tone tone imewafanya watafute jinsi ya kupumua kupitia amri haramu ya nguchiro Katambi.
 
Kulingana na maoni mbalimbali yanayotolewa chini ya huu uzi inaonekana wazi kabisa kwamba idadi ya machawa inazidi kupungua kila siku na kuna dalili kwamba huko tuendako huenda wakapotea kabisa.

Kila uchao idadi ya watanganyika wanaojitambua inazidi kuongezeka.👏👏👏
 
Nini kimepelekea sisi kuwekewa vikwazo?
 
Huyo hapo kabla hajajitoa akili
 

Attachments

  • VID-20260626-WA0009.mp4
    5.5 MB
Anadai hawawezi au haitakua rahisi kukamata wahalifu kwenye mikusanyiko ya watu wengi! Toka lini wahalifu wanatafutwa na kukamatwa kwenye mikitano ya kisiasa?! Lakini pia wameshawakamata watu na madumu ya petroli na silaha?! Hivi huyu Mh. Waziri yuko sawa kichwani?!
 
Kakatambi uwezo wa kukachukua na kukapiga kata funua tena kakiwa na walinzi wake kwangu wala siyo ishu. Tutafanya mikutano na maandamano. Tulimfukuza muliro kwake kaje kuwa kakatambi
 
Hata ingekuwa wana akili wasingekubali hali kama hii! Hizi ni dalili za kifo chao.
 

Attachments

  • VID-20260626-WA0023.mp4
    12.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…