Tangu mmpewa hizo pesa mmefanya lipi la maana?
 
Tatizo lipo na linajulikana ila viongozi wanalazimisha watu waishi kama vile hakuna tatizo..samia hatoshi hii nchi imeshampalia kitambo sana
 
Kwa kweli hata mimi nimesikitika sana
Wangewaacha tu waendelee sioni tatizo, na kama kuna njama basi zingejulikana humuhumo kwenye mikutano yao
 
Nafikiria hii nchi ila sipati majibu.
Wakati wa magufuli yeye alijua kabisa hataweza kuvumilia mikiki-mikiki ya upinzani akapiga bana mapema.

Bi mchele yeye akijifanya muungwana akaruhusu, mambo yakaenda kumshinda, akatengeneza visababu CDM ikazuiliwa mikutano,
Bado hapati usingizi kaamua kurudia ya mtangulizi wake.
 
Tunaishi kwa kutegemea kutembea nje ya nyumba zetu ili maisha yetu yaendelee, hatuna access ya soft money kama nyie wenzetu chadema ambao mnategemea mle kupitia Hela za mabeberu.

Kwahyo chadema mnapotangaza vurugu/maandamano mjue kuwa nyny ni WAUAJI WAKUBWA WA WATANZANIA.
 

Attachments

  • 20260615_233443.jpg
    195 KB · Views: 10
Ni aibu sana kwa wanasiasa kama Heche na Mnyika kujidai wana misuli ya kupambana na Sheria kwa kutegemea fedha na harakati za watetezi wa ushoga huko ulaya.
TII SHERIA BILA SHURUTI
 
Muuwaji ni yule aliesababisha ww utoke ndio ule na pia mtuhumu uyo aliejenga mazingira mabovu yakutokua na uduma bora za afya (yawezekana hata tatizo la ndugu yako anaepaswa kwenda clinic kila siku lingekwisha endapo kungekua na uduma bora za afya na vitendea kazi vyake)
 
Nyny mnayefugwa na mabeberu mtoke nje mkatafute nini?
 

Mzee zamu hii naona umepigwa na package nzuri na mamaduro, sio kwa kujituma namna hii!

Ungekuwa na bidii hivi ulipokua shule miaka ile ungekuwa na degree safi kabisa na ofisi nzuri sana sasa hivi na uchawa ungekuwa kwa mbaaali, ila ndio too late sasa! Shida wakati kina katambi na vijana wenzako wanasoma wewe ulikua unachungulia watu/wamama/wadada chooni na kuweka kioo chini ya sketi uone chupi...

Tushee bia kadhaa basi si unajua jf ni dugu moya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…