Haya mambo ukiyafuatilia sana, unaweza kujikuta moyo unaenda tu mbio muda wote.
Hakuna jambo baya kama kukasirishwa na kitu halafu usiwe na uwezo wa kufanya chochote kile.
Ni sawa na kuonewa na mtu mwenye uwezo wa nguvu kuliko wewe, unaishia kughadhibika tu bila ya kuwa na uwezo wa kufanya lolote lile.

Kwa katiba hii tuliyonayo tunaweza hata kuwekea waziri mkuu kutoka Dubai na tusiwe na la kufanya.
 
Duh mod keshamerge thread!.

Haya ngoja twende hivyohivyo taratibu tutaelewana.

But natamani angeelewa uzito wa mada husika kwa faida ya nchi yetu asingeunganisha mada yangu na hii speech ya Kassim Majaliwa.
 
Baada ya ujio wa DP World katika bandari zetu especially Dar es Salaam kuna makundi ya watu wameibuka na kujionyesha kuwa wanaipigia chapuo bila ya kujua kuwa "DP-WORLD ni mtake msitake"
 
Viongozi wa Tanzania wanawalaumu Watanzania kwa utendaji mbovu.

Nani anawasimamia watendaji hao?
 
Agreement siyo mkataba ni makubaliano,mkataba ni contract, contract ina-bind, agreement hai-bind,kusaini ndiyo utaratibu uliopo katika uwekezaji huo
Nini tofauti ya makubaliano na mkataba? Yaani usaini makubaliano na mtu halafu useme hai-bind? Sasa kwanini una-sign in the first place? Saini kazi yake nini kama sio binding?
 
Unaweza google tu tofauti ya agreement na contract
 
Tueleze, nini tofauti ya makubaliano na mkataba, tueleze, au unatetea usichokijua?

Haya, google wanasema agreement ni ‘Legally binding’. Sasa wewe choko endelea kutetea.
 
View attachment 2669124
Haya, google wanasema agreement ni ‘Legally binding’. Sasa wewe choko endelea kutetea.
Nilikwambia u-google 'difference between agreement and contract' kwa sababu wewe huwa punguani kichwa kizito, google tu na utapata unachotaka mapema tu,ukishapata niambie nikuchokoe
 
Wewe si ulisema agreement sio legally binding, kwamba tofauti contract ni legally binding? Au sio wewe? Aua sasa google inasema agreement ni legally binding pia.., sasa tofauti ni ipi?
 
Si u-google tofauti ya agreement na contract..kelele za nini!?..au ushaona umeamua kubisha!?.. IGA iliyosainiwa pasipokua na contract baada ya 12 months inakufa kibudu
 
Agreement na Mkataba, tofauti ni nini? Soma wewe huko google utuambie, mimi nimesoma sijaona tofauti, maana zote zinasainiwa na ni legally binding kinyume na ukivyodanganya, kwa agreement si legally binding
 
Si u-google tofauti ya agreement na contract..kelele za nini!?..au ushaona umeamua kubisha!?.. IGA iliyosainiwa pasipokua na contract baada ya 12 months inakufa kibudu
Acha ujinga. IGA ndio mkataba mama ndio maana unaitaji kupitishwa nabunge. Hiyo mikataba mingine midogodogo mnaweza mkasaiana hata chooni, hiyo inaitwa ukiishakubali kuolewa hakuna kulala na pichu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…