Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kwa alivyoenda kupiga Hospital ya watoto nilijua jamaa hayupo sawa kabisa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye kansa wote waliua watoto.... ni ugonjwa tu wa kawaida na si kwa vile ameua watoto.............no connection between the twoYaani uwue watoto zaidi ya 16.000 halafu ubaki salama unakula kuku Mungu baba yako.
Sasa apambane na kansa ya tezi dume mamaae anakufa anajiona 🤣
Ungesema hivo ndo ungeeleweka ila ya kikwete haikujulikana ni grade Gani
Yahudi jeuri linaripoti kutoka Nyamswa.wenye kansa wote waliua watoto.... ni yaugonjwa tu wa kawaida na si kwa vile ameua watoto.............no connection between the two
Atapona tu! Anahitajika kuongoza mapambano ya kuhakikisha Usalama wa Israel.
Kazi bado haijaisha.
Report inasema prostrate cancer au tezi dume, hiyo UTI wewe umeitoa wapi mkuu? Kuna ya Kiswahili hapo just in case Kingereza kimetumika vibaya
Kwamba upo uhusiano wa prostrate cancer na UTI? Sidhani kama kuna ukweliHuwezi kuelewa haya kama huna background ya medicine
Na hamas awafanye nini Allah awafanye nini?Namuomba ALLAH ampe adhabu kali duniani na akhera.
Amfanye dhalili wa wadhalili kutokana na udhalimu wake
Kama alilopigwa jkKipimo anachopimiwa ni kile kile kapigwa Dole...😂
Haitabadirisha chochote kwa Israel sababu swala na wao kushambuliwa linawaweka pamoja sana. Ile October 7 hata waziri mkuu angekua nani wangepiga tu kulipizaHii stage 3 inapona? Watalaam mtujuze huyu jamaa kaua watu sanaaa bora nae apate kuonja kifo shenzii
Wanakata sana stim za kichawii mpaka wanakela. Mpaka utoke uchawiniWaulize walokole wa Tz.
HAMAS ni Wapigania uhuru kama Maumau au ANCNa hamas awafanye nini Allah awafanye nini?
Ikiua hamas ni kupigania uhuru akiua Israel allah amzmdhuru Israel. Basi huyo allah atakua mwarabu fulani hiviHAMAS ni Wapigania uhuru kama Maumau au ANC