Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?

Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?

Ile Quran si makaratasi tu?

Au mnaabudu Quran?

Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Wanawabeep waislamu,wakiwapigia wasipige kelele.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Na hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.

Angekuwepo angempiga mtu mmoja tu kwa radi wakati anachoma Quran, tungejua yupo bila chenga.

Upumbavu mtupu

Na hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.

Angekuwepo angempiga mtu mmoja tu kwa radi wakati anachoma Quran, tungejua yupo bila chenga.

Upumbavu mtupu.
Mungu hana haraka hivyo, huwa anakupa muda wa kubadilika, ikishindikana ndo hapo anaangamiza waliopo na wasiokuwepo
 
Wana wabeep waislam,wakiwapigia,wasipige kelele.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Waislam wakiwapigia tutajua Allah hayupo.

Ndiyo maana anasaidiwa na Waislamu.

Tunataka Allah mwenyewe awapigie tujue yupo kweli.

Yani ile mtu anaanza kuishika Quran tu aichome moto, mchana kweupee hakuna wingu wala mvua, linavurumuka bonge la radi linaacha maelfu ya watu waliomzunguka huyo anayechoma Quran, linampiga huyo huyo mtu mmoja anayechoma Quran tu.

Nakuhakikishia Allah akifanya hivyo angalia kesho yake watu watakavyokimbikia misikitini.

Lakini Allah hawezi kufanya hivyo.

Kwa sababu hayupo.

Utaona Waislamu wanafanya fujo tu.

Kwa sababu Allah hayupo.
 
SEMA lakini wanachokasirika ni Nini?
si ni kitabu tu kimechomwa!
watu bwana
Wanakasirika kwa sababu dunia inajua kuwa kumbe hiki kitabu tu unaweza kukichoma moto halafu ukadunda tu.

Walitaka watu wakiogope kitabu kuwa kina nguvu za Allah.

Wakati Allah mwenyewe hata hayupo, ni hadithi tupu za watu tu.
 
Hafi na hafi ni Kwa sababu hayupo, angekuwepo asingeitaji kusidiwa kujitetea yeye mwenyewe angeshusha radi ikawaua hao wachomaji
Huko kuchoma makaratasi,tayari ni radi tosha.Mtu mwenye akili za sawasawa,atacama makaratasi.Mbona waislamu hawachomi vitabu vya dini nyingine.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom