Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Mungu gani anaruhusu waumini wake kuua watu wa dini zingine? Huyo mungu ni mjinga na akili ana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawabeep waislam,wakiwapigia wasipige kelele.Waache huo upumbavu, waishi kwa kuheshimu tofauti zilizopo kati yetu.
Hatuwezi wote dunia nzima kuwa wa-Kristo au wapagani
Wanawabeep waislam, wakiwapigia, wasipige kelele.Kwanini Hao Wa-Sweeden wanafanya hivyo lakini? Embu tupeane taarifa kidogo.
Wana wabeep waislam,wakiwapigia wasipige kelele.Hao sidhani kama ni wakristo. Hawana tofauti na El shaabab, ISIS na Al Qaeda
Wanawabeep waislam,wakiwapigia wasipige kelele.Choma choma-Kuku
Wanawabeep waislamu,wakiwapigia wasipige kelele.Kwani wakichoma Quran Allah anakufa?
Wanawabeep waislamu,wakiwapigia wasipige kelele.Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.
Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?
Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?
Ile Quran si makaratasi tu?
Au mnaabudu Quran?
Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Wanawa beep waislam,wakiwapigia wasipige kelele.FaizaFoxy Hebu nenda hapo Sweden kawachinje wote alafu peponi utapewa mabikra 72 wa kusagana nao huku mkiburudika na mito ya pombe kali.
Na hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.
Angekuwepo angempiga mtu mmoja tu kwa radi wakati anachoma Quran, tungejua yupo bila chenga.
Upumbavu mtupu
Mungu hana haraka hivyo, huwa anakupa muda wa kubadilika, ikishindikana ndo hapo anaangamiza waliopo na wasiokuwepoNa hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.
Angekuwepo angempiga mtu mmoja tu kwa radi wakati anachoma Quran, tungejua yupo bila chenga.
Upumbavu mtupu.
Waislam wakiwapigia tutajua Allah hayupo.
Wanawabeep waislam,wakiwapigia wasipige kelele.Hapa wanajieleza juu ya nini? Kama hawaamini si waachane nayo? Au ndio wanaeleza kuwa wanawachukia waislamu?
Wanawabeep waislam,wakiwaigia wasipige kelele.Ujinga mtupu.
Vitabu vyenyewe vimejaa contradictions.
Waacheni wachome, kwani wakichoma huyo Allah wenu atakufa?
Wanakasirika kwa sababu dunia inajua kuwa kumbe hiki kitabu tu unaweza kukichoma moto halafu ukadunda tu.SEMA lakini wanachokasirika ni Nini?
si ni kitabu tu kimechomwa!
watu bwana
Kifo chako kitakuwa kibaya sana, na mbaya zaidi hautakuwa tena na muda wa kuomba msamaha kwa ujinga uliofanya.Na hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.
Angekuwepo angempiga mtu mmoja tu kwa radi wakati anachoma Quran, tungejua yupo bila chenga.
Upumbavu mtupu.
Hizi didni ni siasa za kale zikizovishwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.
Ni kama vile baada ya miaka elfu uambiwe CCM ni dini na Nyerere ni mtume.
Ujinga mtupu.
Huko kuchoma makaratasi,tayari ni radi tosha.Mtu mwenye akili za sawasawa,atacama makaratasi.Mbona waislamu hawachomi vitabu vya dini nyingine.Hafi na hafi ni Kwa sababu hayupo, angekuwepo asingeitaji kusidiwa kujitetea yeye mwenyewe angeshusha radi ikawaua hao wachomaji